Heavy User
JF-Expert Member
- Feb 2, 2020
- 1,047
- 1,903
ni kweli. kila option unayoiona, bookers wameichambua na kuihakiki wameona inawalipa.Option nzuri ya kubeti ni ile ambayo kanji hajaweka
ndiyo maana pamoja na kuwepo option tunazoziona rahisi kama over 0.5, corner, yellow cards, goals in row, shots, goal kick n.k. lakini Mhindi hafilisiki, anazidi kutajirika tu