Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Option nzuri ya kubeti ni ile ambayo kanji hajaweka
ni kweli. kila option unayoiona, bookers wameichambua na kuihakiki wameona inawalipa.

ndiyo maana pamoja na kuwepo option tunazoziona rahisi kama over 0.5, corner, yellow cards, goals in row, shots, goal kick n.k. lakini Mhindi hafilisiki, anazidi kutajirika tu
 
4rshzw.jpg

EARLY KICKOFF ON PARIPESA

Kama Huna Akaunti Ya PARIPESA Jiunge Kwa Kubonyeza Link Hizo Hapo Chini Na Promo Code Weka Neno TIPS2424

Link👇

PariPesa

PariPesa

Promo Code: TIPS2424

📌 Pata 250000 Bure Kwenye PariPesa Ukijiunga Na Kuweka Promo Code TIPS2424 Na Kudeposit

PariPesa Booking Code: FZDLY
 
option za corner na over 1.5 zinanipotezea muda. bora hata corner kidogo.

naziona kama nimeshazimasta lakini bado zinanichania mikeka. kila nikizifanyia kazi nirekebishe ninapozikosea, najiona nimesharekebisha makosa yote. nikiziweka kwenye mikeka zinaendelea kuchana, mlolongo unakuwa uleule najiona bado kuna sehemu nazikosea sijazimaliza.

option nzuri ni ile ambayo ukikosa unajua umekosea wapi. lakini corner na over 1.5 hujui kama umekosea wapi.


Unaweka Kona kwenye ligi gani?

Weka kona Brazil, Mexico na Argentina

Huko ndio wanapiga Kona mpaka 20
 
6a26c7.jpg

⚽ ACCUMULATOR OF THE DAY ⚽

Betia PARIPESA. Jiunge PARIPESA Kwa Kubonyeza Link Hizo Hapo Chini Na Promo Code Weka Neno TIPS2424

Link👇
PariPesa

PariPesa

Promo Code: TIPS2424

📌 Pata 250000 Bure Ukijiunga PariPesa Leo Na Kuweka Promo Code TIPS2424

Booking Code: RY5PY
 
Kuna siku akili huwa zinakua kama zina stuck hivi kila game ukiichungulia unaona inakataa

Nahitaji odd 10 za 1xbet 🙏🙏🙏
 
1xbet kwa yale makato mnahimili vipi aisee?
Kuna siku akili huwa zinakua kama zina stuck hivi kila game ukiichungulia unaona inakataa

Nahitaji odd 10 za 1xbet [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom