Kanji ni zaidi ya mchawi yan wakati wa kusuka mkekaWakati wa kusuka mkeka akili inakwendaga wapi, huyu roma nilishamweka blacklist sasa sijui imekuaje leo nimemp win.
Hivi kwa tunaotumia Sportybet, hii game ya galatasalay nilimpa win, katoa draw ila mkeka bado unasoma ,hii ikoje wadauItakua
Daah aisee huu ushauri wako ningeona mapema nisingemuweka Roma maana kashapigwa na sioni cha maana wanachocheza.Mkuu kwa odd hizo na assume una stake high.
Roma na Napoli kuwaweka mkeka mmoja ni hatari kwa afya ya mkeka wako hata kama wapo nyumbani na umewapa DC
Hapo timu zenye possibility kubwa ya kutoa ni Simba na Yanga tu hata ziki lost uanona kabisa zimeteleza
Bora kumpa Simba win na Yanga win over 1.5 angalau matumaini ni makubwa
Na unaweza ukaziacha Roma na Napoli ukashangaa zime shinda ushindi mnono kabisa😂.
Mind you katikati ya wiki Roma ana mashindano ya Europe
Kuna wakati akili inaweka majini inaacha wazuri.Wakati wa kusuka mkeka akili inakwendaga wapi, huyu roma nilishamweka blacklist sasa sijui imekuaje leo nimemp win.
Hivi ni kampuni gani yenye live game nyingi kwa pamoja ukiachana na sportybet?Kampuni mpya zimejipanga zina option nyingi lakini akina sportpesa wamekomaa na option 17 tu.
Fikiria eti ukitaka simba na yanga wote kwenye game zao washinde first half hakuna hiyo option.
Kinachombeba sportpesa ni kwa vile alikuja mapema hapa bongo halafu payment method zake hazisumbui.
Acha aisee, mi nilishaapa timu za Italy na Ufaransa NO kwenye mikeka yangu ila Roma sijui kaingiaje kwenye mkekaWakati wa kusuka mkeka akili inakwendaga wapi, huyu roma nilishamweka blacklist sasa sijui imekuaje leo nimemp win.
BetikaHivi ni kampuni gani yenye live game nyingi kwa pamoja ukiachana na sportybet?