Black Legend
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 174
- 301
😀😀😀😀 just imagine unaenda na roma unamwacha aston villa ambae yupo formKuna wakati akili inaweka majini inaacha wazuri.
Uyo roma anachelewesha shughuliNALEOTENA
Ashikilie bomba sasaRoma kaweka kamba mbili tayari huko
Mimi timu za Italy nilisha apa siweki kwa mkeka juzi nilimpa ac Milan na ni goals tuWakati wa kusuka mkeka akili inakwendaga wapi, huyu roma nilishamweka blacklist sasa sijui imekuaje leo nimemp win.
Kila la kheri mpwa.2+
Wekamkea
Athletico bilbao win
1.75
Napoli win
1.50
mxb
Kwa msimu huu leo ndio mara yangu ya kwanza na ya mwisho kumwekea hela roma, kwanza hata kikosi chao chenyewe hawana wachezaji wakali kivile ukilinganisha na inter, ac mila, juve na napoliNdugu wakamaria, hii Roma leo kidogo initoe roho. Hivi ni mimi tu au hata nyie?
🤣🤣🤣🤣 kama li young boys la jana lakini lugano 2-1 anaongoza.kuna litimu la Uswizi linaitwa Lugano, la kidwanzi kweli hili. wamefungwa lakini bado wanakimbia kwa madaha
Tena umejikaanga vibaya mnooo ukizipa Direct win wasiseme hujawaambia 😅😅😅wangu kuweni makini sana fenerbahance,atletico na Paok ukizipa diect win umeisha