Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Attachments

  • Screenshot_20240930-002817_Chrome.jpg
    Screenshot_20240930-002817_Chrome.jpg
    168.7 KB · Views: 26
Jama habari ya leo🤝🏻

Mwenye kutumia Paripesa ni kwamba kwangu tuu ndiyo vodacom hawana mfumo wa kutoa pesa ama?
Kuweka wanaweka lakini kutoa naona kama hawako leo.
Je? Nikitoa kwa mtandao mwingine inangali nilisajiliaga vodacom itakubali?
 
Screenshot_20240930-062418_1.jpg

Ndiyo Vodacom wana shida. Hata PariPesa walituma ujumbe kwa kila mmoja kwenye app kuwa Vodacom inashida. Tatizo lilianza pale juzi mtandao uliposumbua wa voda.

Walituma ujumbe huo kwa kila mtu.
 
Mimi nilifurahi dakika ya 15 alikuwa na odds 2 nikaishi naye bila kujiuliza mara 2. Matokeo yake zimetika kadi 5 1H hiyo.View attachment 3110531
Kawaida mie hizi game za hushindani huwa nacheza booking first naweka over 1.5 mara nyingi huwa odds zinaanzia 2

Option ya corner ingewekwa kwa timu za kibongo mbona ingekuwa sherehe na waamuzi wetu hawa kina Tatu Malogo kidogo wanapuliza faulo
 
Jama habari ya leo🤝🏻

Mwenye kutumia Paripesa ni kwamba kwangu tuu ndiyo vodacom hawana mfumo wa kutoa pesa ama?
Kuweka wanaweka lakini kutoa naona kama hawako leo.
Je? Nikitoa kwa mtandao mwingine inangali nilisajiliaga vodacom itakubali?
Makampuni yapo mengi hujalazimishwa kutumia acha kutusumbua watu Kila siku paripesa paripesa paripesa
 
Mkuu nilichungulia nikakuta cashout inasoma 9904 nikaamua kumuachia kanji gafla arsenal wakafanya yao
Vizuri, mie Galsport zamani mikeka yangu ya kimkakati ndo nilikuwa nacheza maana walikuwa hawana cash out ila sasa hivi nao wameingia kwenye mfumo wa cash out ila nikicheza sichungulii sana
 
-34so04.jpg

📌ACCUMULATOR OF THE DAY PARIPESA

Betia PARIPESA. Kama Huna Jiunge Kwenye Link Hizo Hapo Chini Na Promo Code Weka Neno TIPS2424 upate bonus.

Link👇

PariPesa

PariPesa

Promo Code: TIPS2424

📌 Pata 250000 Ya Bure Ukijiunga PariPesa Leo Na Kuweka Promo Code TIPS2424 Na Kudeposit.

Booking Code: VV8U9
 
Back
Top Bottom