Mkuu nilichungulia nikakuta cashout inasoma 9904 nikaamua kumuachia kanji gafla arsenal wakafanya yaoWe kweli bingwa wa kukaza, mechi ya Arsenal kabisa mpaka full time 2 kwa 2 ukakaza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nilichungulia nikakuta cashout inasoma 9904 nikaamua kumuachia kanji gafla arsenal wakafanya yaoWe kweli bingwa wa kukaza, mechi ya Arsenal kabisa mpaka full time 2 kwa 2 ukakaza.
Vizuri, mie Galsport zamani mikeka yangu ya kimkakati ndo nilikuwa nacheza maana walikuwa hawana cash out ila sasa hivi nao wameingia kwenye mfumo wa cash out ila nikicheza sichungulii sanaMkuu nilichungulia nikakuta cashout inasoma 9904 nikaamua kumuachia kanji gafla arsenal wakafanya yao
Noma sanaJana ilikuwa siku nzuri sana
Wakubwa mnafaidi🙌Wakubwa tuna win kikubwa
Jama habari ya leo🤝🏻
Mwenye kutumia Paripesa ni kwamba kwangu tuu ndiyo vodacom hawana mfumo wa kutoa pesa ama?
Kuweka wanaweka lakini kutoa naona kama hawako leo.
Je? Nikitoa kwa mtandao mwingine inangali nilisajiliaga vodacom itakubali?
Exactly! Sasa hivi ni mwendo wa kwenda na AC Milan na Inter Milan. Hawo mbwa wengine ni kuwaacha tu!Kwa msimu huu leo ndio mara yangu ya kwanza na ya mwisho kumwekea hela roma, kwanza hata kikosi chao chenyewe hawana wachezaji wakali kivile ukilinganisha na inter, ac mila, juve na napoli