euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,811
- 4,178
Mechi ya pili hii Sasa hakuna 2+kuna mtu jana muda kama huu alitahadjarisha hawa doto na kulwa tusiende na magoli, twende na direct win,
yametimia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi ya pili hii Sasa hakuna 2+kuna mtu jana muda kama huu alitahadjarisha hawa doto na kulwa tusiende na magoli, twende na direct win,
yametimia
Man city Kuna game lazima uwe unamlinda kwa double chance ila hawezi pigwa pigwa yeye zake ni kupiga au kutoa sareMan city nimpga blacklist mazima mpk msimu huu uuishe nyau yule
Niko hapa mkuu nilisema leo sitatia ujuaji kabisa na imekua hata 2+ imekosekana si azam simba wala yangakuna mtu jana muda kama huu alitahadjarisha hawa doto na kulwa tusiende na magoli, twende na direct win,
yametimia
Ulisema na mimi nikakazia.wangu kuweni makini sana fenerbahance,atletico na Paok ukizipa diect win umeisha
Goli mbili kbs za kwenda ananyata na moja tu na wengine kutia mzigo mazima hatuwezMan city Kuna game lazima uwe unamlinda kwa double chance ila hawezi pigwa pigwa yeye zake ni kupiga au kutoa sare
come again...Simba over 1.5 odd 2 saafi kabisa
Hawamtaki kocha mjiandae na vyeti mfululizoMan U anatusalimia
Betwall brMkuu hii ni app Gani?
Au sio hakuna mbwembwe.Wakubwa tuna win kikubwa
Jama habari ya leo🤝🏻
Mwenye kutumia Paripesa ni kwamba kwangu tuu ndiyo vodacom hawana mfumo wa kutoa pesa ama?
Kuweka wanaweka lakini kutoa naona kama hawako leo.
Je? Nikitoa kwa mtandao mwingine inangali nilisajiliaga vodacom itakubali?
??????7 oddsdone
2-0
[emoji817] [emoji817]
We kweli bingwa wa kukaza, mechi ya Arsenal kabisa mpaka full time 2 kwa 2 ukakaza.Jifunze kujikaza usipende kucash out sana mimi jana nilikaza mwisho arsenal akashinda
Kawaida mie hizi game za hushindani huwa nacheza booking first naweka over 1.5 mara nyingi huwa odds zinaanzia 2Mimi nilifurahi dakika ya 15 alikuwa na odds 2 nikaishi naye bila kujiuliza mara 2. Matokeo yake zimetika kadi 5 1H hiyo.View attachment 3110531
Makampuni yapo mengi hujalazimishwa kutumia acha kutusumbua watu Kila siku paripesa paripesa paripesaJama habari ya leo🤝🏻
Mwenye kutumia Paripesa ni kwamba kwangu tuu ndiyo vodacom hawana mfumo wa kutoa pesa ama?
Kuweka wanaweka lakini kutoa naona kama hawako leo.
Je? Nikitoa kwa mtandao mwingine inangali nilisajiliaga vodacom itakubali?