Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Kaona
88 mns
0-2
Mwez mpwaabro besiktasi kwa leo mpumzishe anapigwa kipindi cha pili
88 mns
0-2
Mwez mpwaabro besiktasi kwa leo mpumzishe anapigwa kipindi cha pili
M sijamwacha nilijilipua nae mapemaNilikuwa namhofia "Besiktas", ila naona anaenda vizuri.. Ngoja nisikilizie 🤨🤨
kwani huo mkeka una timu ngapi au besktas ndo wa mwisho akishinda unakula kibunda.?Nilikuwa namhofia "Besiktas", ila naona anaenda vizuri.. Ngoja nisikilizie 🤨🤨
Leo yupo vizuri sana...M sijamwacha nilijilipua nae mapema
Sanaaaa kama anasoma tkt zetu akiona wamemweka wachache huyoo anagawa doziLeo yupo vizuri sana...
Bado kama timu tatu hivi ndo zinaaza game 🤒🤒.. Nipo macho ikifika H1 bila matokeo mazuri na cash out.kwani huo mkeka una timu ngapi au besktas ndo wa mwisho akishinda unakula kibunda.?
Majini ya mhindi hayo yameamua Kukaa kwa BesiktasSanaaaa kama anasoma tkt zetu akiona wamemweka wachache huyoo anagawa dozi
Sikuzahelaleo usicash out mkuuBado kama timu tatu hivi ndo zinaaza game 🤒🤒.. Nipo macho ikifika H1 bila matokeo mazuri na cash out.
Sikuzahelaleo usicash out mkuu
mkuu cash out fasta hapo kumbuka huyo parma ni wa kuja yaani kapanda ligi msimu huu na huyo cagliari ni wa kitambo kunako ligi hivyo ni mzoefu..cash out hao wakirudi 2H parma atatafuta kusawazisha tu na mwenzie lazima azidi kukaza so cash out hutoiona shauri zakoView attachment 3111618
Naona parma ndo ataharibu huu mkwanjwa Aise, na mech zimebaki hizo hizo 3 tu, 🤒🤒🤒🤒
Yeah, ngoja ni cash out tu.. Nipate ya soup asubuhi 😋😋. Parma naona game imemshinda Tayarimkuu cash out fasta hapo kumbuka huyo parma ni wa kuja yaani kapanda ligi msimu huu na huyo cagliari ni wa kitambo kunako ligi hivyo ni mzoefu..cash out hao wakirudi 2H parma atatafuta kusawazisha tu na mwenzie lazima azidi kukaza so cash out hutoiona shauri zako
Mapemaaqq kabooomAll d best jimalize
Nani huyu?.fwaten huyu jamaa fb mapema saa tano ana mizigo ya heshimaa 3 odds mpaka 5
Fingia atyachmentNani huyu?