Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

𝗬𝗲𝘀𝘁𝗲𝗿𝗱𝗮𝘆 𝟭𝟳/𝟮𝟬 ✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
 

Attachments

  • 1727762188376.jpg
    214.6 KB · Views: 3
Tday pk ur test
 

Attachments

  • 1727762196119.jpg
    132.5 KB · Views: 4
SGR SPORTBERT 0DDS 12,000

9AEC34

Tia sh 200 kama ulivyo kisha fanya one cut kama hivi pichani kwa kutumia slide bar ya one cut kisha tia sh500 ..pia unaweza kuendelea kuedit kijanja zaidi yaani positive edit ni muhimu
 

Attachments

  • Screenshot_20241001-090539_SportyBet.jpg
    162.2 KB · Views: 4
SGR SPORTBERT 0DDS 12,000

9AEC34

Tia sh 200 kama ulivyo kisha fanya one cut ya hivi pichani kwa kutumia slide bar ya one cut..pia unaweza kuendelea kuedit kijanja zaidi yaani positive edit ni muhimu
Kuna yule jamaa alikuwa anaitwa athumani alikuwa analeta matreni makali yupo wapi siku hizi 😁
 
SGR SPORTBERT 0DDS 12,000

9AEC34

Tia sh 200 kama ulivyo kisha fanya one cut kama hivi pichani kwa kutumia slide bar ya one cut kisha tia sh500 ..pia unaweza kuendelea kuedit kijanja zaidi yaani positive edit ni muhimu
Kuliko kutumia one Cut si bora ukatumia Flex mkuu?? Maana one cut unaweza kuta mkeka umetick na ukalipwa hela chini ya stake yako. Hiyo one cut ni ya kitapeli mno
 
Kuliko kutumia one Cut si bpra ukatulia Flex mkuu?? Maana one cut unaweza kuta mkeka umetick na ukalipwa hela chini ya stake yako. Hiyo one cut ni ya kitapeli mno
One cut imeboreshwa nimeandika na picha nimeweka sijui kwanini unakosa umakini ? Kwenye one cut kuna slide bar ni nzuri sana unaweza kuua ndege wawili.kwa jiwe moja mfano hapo nimetumia slide bar nimnaweza kula mil 3 au laki moja
 
Poa mkuu ila usichezee mtaji wa PariPesa Aviator. Utaharibu mtaji wako. Wewe kusanya hela tu, huduma zikirudi utatoa hela nyingi

Aviator ni hatari dangerous kwa afya ya mtu Kiongozi 😭😭
Itakupa pesa kama usipokuwa na tamaa ila kwa ukweli sijui wanaangalia nafsi ya mtu sijajua maana unajikuta tuu umeangukia pua🤨🤨
Ombi langu kwa wadau ni aviator ni betting dangerous usiipe nafsi izoee kama ilivyonizoea🚶🏻🚶🏻
 
SGR SPORTBERT 0DDS 12,000

9AEC34

Tia sh 200 kama ulivyo kisha fanya one cut kama hivi pichani kwa kutumia slide bar ya one cut kisha tia sh500 ..pia unaweza kuendelea kuedit kijanja zaidi yaani positive edit ni muhimu
POSITIVE EDITY ODDS 1255 💥💥💥

1BB8206

Edit very postive edit odds 220 😇😇😇💥💥💥💥 weka hata sh1000 au sh5000

680747
 
Anaitwa bwana Othman Dan fodio, jamaa matreni yake yalikuwa ya maana kweli kweli, sijui kapotelea wapi yule mwamba

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Majuzi mtaani kwetu nasikia othman othman sijui kashinda sh ngapi kila mtu anasema wanataka awatengenezee mkeka ndiyo nikamkumbuka huyu wa JF sijui ni yeye wa mtaani .😁😁 jamaa alicash out mkeka ukiwa umebaki. Mechi moja akala laki sasa watu wakawa wana lalamika kwanini kacash out sibora angewauzia huo mkeka kwa thamani ya cash out iliyo kuwepo ili mkeka ukishinda pesa ingekuwa yao...ila mwisho wa siku mkeka ulitiki wote jamaa akiwa amesha cash out laki moja na kukosa mil3
 
Anaitwa bwana Othman Dan fodio, jamaa matreni yake yalikuwa ya maana kweli kweli, sijui kapotelea wapi yule mwamba

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Nashangaa watu wamemwacha jamaa ameondoka na kubaki na hawa mawakara wa kanji wanaoleta code za ajabu ajabu unakuta mkeka una mechi 25 zote home over 1.5😁 na yale wakara wa kanji anaye beti odds 2 na kutia 1000000 bila ya kutupa hesabu za mwisho wa siku faida na hasar kiasi gani ..unabeti mikeka ya milioni milioni 6 yenye odds mbili mbili kisha unakula 2 na kukosa 4 kisha unashangilia kama zuzu😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…