nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
AseeWameninyima option ya kutoa pesa tangu juzi mpk aviator imemegua balance yangu yote maanina zao๐๐
Ngoja tuwe wavumilivu huenda zitarudi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AseeWameninyima option ya kutoa pesa tangu juzi mpk aviator imemegua balance yangu yote maanina zao๐๐
Zitarudi mkuuAsee
Ngoja tuwe wavumilivu huenda zitarudi.
BAadhi ya kampuni ni kuwa nazo makini. Usiifanye ndo kibubu maana ukilala kesho yake hujui kutaamkajeWameninyima option ya kutoa pesa tangu juzi mpk aviator imemegua balance yangu yote maanina zao๐๐
Zirudi tu maana naogopa hata kuweka mkeka tenaZitarudi mkuu
Angusha code number Kiongozi........ParipesaโฝโฝZitarudi mkuu
Kuna yule jamaa alikuwa anaitwa athumani alikuwa analeta matreni makali yupo wapi siku hizi ๐SGR SPORTBERT 0DDS 12,000
9AEC34
Tia sh 200 kama ulivyo kisha fanya one cut ya hivi pichani kwa kutumia slide bar ya one cut..pia unaweza kuendelea kuedit kijanja zaidi yaani positive edit ni muhimu
Kuliko kutumia one Cut si bora ukatumia Flex mkuu?? Maana one cut unaweza kuta mkeka umetick na ukalipwa hela chini ya stake yako. Hiyo one cut ni ya kitapeli mnoSGR SPORTBERT 0DDS 12,000
9AEC34
Tia sh 200 kama ulivyo kisha fanya one cut kama hivi pichani kwa kutumia slide bar ya one cut kisha tia sh500 ..pia unaweza kuendelea kuedit kijanja zaidi yaani positive edit ni muhimu
Poa mkuu ila usichezee mtaji wa PariPesa Aviator. Utaharibu mtaji wako. Wewe kusanya hela tu, huduma zikirudi utatoa hela nyingiAngusha code number Kiongozi........Paripesaโฝโฝ
Mkuu huduma haziwezi kupotea milele, wewe kusanya tu hela, huduma zikirejea utatoa mpunga mrefu. Mimi wakati kama huu ndiyo nautumia kukusanya helaZirudi tu maana naogopa hata kuweka mkeka tena
One cut imeboreshwa nimeandika na picha nimeweka sijui kwanini unakosa umakini ? Kwenye one cut kuna slide bar ni nzuri sana unaweza kuua ndege wawili.kwa jiwe moja mfano hapo nimetumia slide bar nimnaweza kula mil 3 au laki mojaKuliko kutumia one Cut si bpra ukatulia Flex mkuu?? Maana one cut unaweza kuta mkeka umetick na ukalipwa hela chini ya stake yako. Hiyo one cut ni ya kitapeli mno
Poa mkuu ila usichezee mtaji wa PariPesa Aviator. Utaharibu mtaji wako. Wewe kusanya hela tu, huduma zikirudi utatoa hela nyingi
POSITIVE EDITY ODDS 1255 ๐ฅ๐ฅ๐ฅSGR SPORTBERT 0DDS 12,000
9AEC34
Tia sh 200 kama ulivyo kisha fanya one cut kama hivi pichani kwa kutumia slide bar ya one cut kisha tia sh500 ..pia unaweza kuendelea kuedit kijanja zaidi yaani positive edit ni muhimu
Anaitwa bwana Othman Dan fodio, jamaa matreni yake yalikuwa ya maana kweli kweli, sijui kapotelea wapi yule mwambaKuna yule jamaa alikuwa anaitwa athumani alikuwa analeta matreni makali yupo wapi siku hizi [emoji16]
Majuzi mtaani kwetu nasikia othman othman sijui kashinda sh ngapi kila mtu anasema wanataka awatengenezee mkeka ndiyo nikamkumbuka huyu wa JF sijui ni yeye wa mtaani .๐๐ jamaa alicash out mkeka ukiwa umebaki. Mechi moja akala laki sasa watu wakawa wana lalamika kwanini kacash out sibora angewauzia huo mkeka kwa thamani ya cash out iliyo kuwepo ili mkeka ukishinda pesa ingekuwa yao...ila mwisho wa siku mkeka ulitiki wote jamaa akiwa amesha cash out laki moja na kukosa mil3Anaitwa bwana Othman Dan fodio, jamaa matreni yake yalikuwa ya maana kweli kweli, sijui kapotelea wapi yule mwamba
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Nashangaa watu wamemwacha jamaa ameondoka na kubaki na hawa mawakara wa kanji wanaoleta code za ajabu ajabu unakuta mkeka una mechi 25 zote home over 1.5๐ na yale wakara wa kanji anaye beti odds 2 na kutia 1000000 bila ya kutupa hesabu za mwisho wa siku faida na hasar kiasi gani ..unabeti mikeka ya milioni milioni 6 yenye odds mbili mbili kisha unakula 2 na kukosa 4 kisha unashangilia kama zuzu๐๐๐๐Anaitwa bwana Othman Dan fodio, jamaa matreni yake yalikuwa ya maana kweli kweli, sijui kapotelea wapi yule mwamba
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app