Wakuu Kuna yeyote amewahi pata changamoto kama hii.
Mwezi wa 5 nilitengeneza akaunti PM Bet na ku deposit 10000 siku hiyo. Nilipojaribu kuanza kubeti wakaniletea ujumbe kwamba siwezi kutumia akaunti hiyo mpaka niwasiliane na utawala.
Tangu siku hiyo (tarehe 5 mwezi wa 5 mwaka huu) nimekuwa nikiwasiliana nao na jibu wanalotoa ni "akaunti bado ipo kwenye uhakiki, endelea kusubiri".
Leo tena (1/10 nimejaribu) kuwasiliana nao still majibu ni Yaleyale.
Nifanyaje wakuu niweze kurudishiwa pesa yangu?
View attachment 3111952