blackice2100
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,188
- 2,897
Afadhali yameturudisha kwenye matumaini,,,, palipobaki sasa maana girona wanafunguka sana kama wanacheza ligi vile dahYamekosa na penalty,,,,, huu wa girona ni kuupotezea tu,,,,, wa gg na over wameshapona
Mie nimerebetLeo Far Rabat kanimalizia shughuli mapema tuu na sirebet acha nisubiri wikend
Yamejifunga tenaAfadhali yameturudisha kwenye matumaini,,,, palipobaki sasa maana girona wanafunguka sana kama wanacheza ligi vile dah
Wanabet waoooshenzikabisaMie nimerebet
Hizi Team za waarabu siku hizi kama Italy
Subiria kesho Mechi ziwekwe SawaMmoja ajitolee kunichezea.
Naweka mezani laki 8 ya mchezo.
Niko serious
Yaani Raja Casablanca na Wydad sio kabisaaWanabet waoooshenzikabisa
ngoja nijipange tenaYamekosa na penalty,,,,, huu wa girona ni kuupotezea tu,,,,, wa gg na over wameshapona
Mie hapa USMA Algers ananinyima usingizi kila nikicheki takwimu za mchezoMie nimerebet
Hizi Team za waarabu siku hizi kama Italy
Yamezingua haswa,,, timu za uholanzi, Japan, swizland kucheza nazo inabidi kuwa na mbinu maana ligi zao sifa ni kufunga,,,, ukiwa huna pulling ya kuscore alafu huna mbinu zaidi ya kufunguka kifalao lazma utawapa pointngoja nijipange tena
Yamezingua haswa,,, timu za uholanzi, Japan, swizland kucheza nazo inabidi kuwa na mbinu maana ligi zao sifa ni kufunga,,,, ukiwa huna pulling ya kuscore alafu huna mbinu zaidi ya kufunguka kifalao lazma utawapa point
GIRONA WIN
2.00
WEKA MKE
Eka shangqziMke kaliwa
mat***k kweli yuleLeo Far Rabat kanimalizia shughuli mapema tuu na sirebet acha nisubiri wikend
Daah Atlético x2 inaenda na majiAtletico Madrid labda second half
Ila home advantage Benfica inambeba sio kwa moto huu