Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mmoja ajitolee kunichezea.
Naweka mezani laki 8 ya mchezo.
Niko serious
Subiria kesho Mechi ziwekwe Sawa

Nitakupa mkeka
Subiria baadhi ya matches hazijaingizwa,nahisi zitawekwa Saaa Sita mpaka Saba usiku

Then nitakutumia mkeka

Usiku huu huuu kama Saa Tisa,kisha ukimmka utaukuta.
Nasubiria some options na teams ziongezwe ktk muda wake baada ya kuingia siku ya kesho, that's midnight

See it kesho💪💪💪
 
ngoja nijipange tena
Yamezingua haswa,,, timu za uholanzi, Japan, swizland kucheza nazo inabidi kuwa na mbinu maana ligi zao sifa ni kufunga,,,, ukiwa huna pulling ya kuscore alafu huna mbinu zaidi ya kufunguka kifalao lazma utawapa point
 
kweli kabisa

KOLDING DRW
FT X
3.20
ANGALIA SALIO
 
Attachments

  • Screenshot_20241002-220347_Chrome.jpg
    Screenshot_20241002-220347_Chrome.jpg
    251.7 KB · Views: 3
Back
Top Bottom