Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu hapa wala sio kupanga matokeo, ni vile mpira unadunda ndio kilichotokea!

leo sio kadi, kona yani kote huko tumeliwa!,
fikiria juve ana red, ana trail 2-1 lakini kashinda
 
Kuna timu zitakuwa zinabet aiseee, hili lichunguzwe haiwezekani
Hivi kwanini mnachukulia rahisi sana kuwa timu au wachezaji wanabeti? Mnajua ni mchakato mrefu kiasi gani ili matokeo yaweze kupangwa? Kwamba wamiliki wa timu wana panga matokeo, wanaenda kwa benchi la ufundi kutoa maelekezo kuwa leo hii mfungwe, halafu na benchi la ufundi linatoa maelekezo kwa wachezaji kuwa leo wafungwe?
 
Kabisa aiseee, yaani kama Kocha wa Madrid kikosi alichokianzisha tu unaona kama kabeti kabisa
Wakuu mnachukulia poa sana. Ina maana timu kubwa zimeanza kufungwa sasa hivi baada ya makampuni ya kubet kuanza kudhamini? Ina maana miaka ya nyuma timu kubwa zilikuwa hazifungwi na timu ndogo? Kama zilikuwa hazifungwi basi ushindani kwenye mpira usingekuwapo.
 
Monaco = 2X hola ( Gg + over ✓

Madrid = 2X hola ( Gg , over 1.5, over...×

Bayan = 2X hola ( Gg , over yeyote ×


Mi nimefia kwenye 2× zote

Mkeka wa wiki nililetewa cash out nzuri nikavimba lol
 
Achana nao hao , hayo ni machungu ya kuliwa , wameingia na matokeo Yao mfukoni wanafosi Bayern na Madrid washinde🤣😂🙌 si wnyw tumeliwa tumekausha tunajua ni matokeo ya mpira afu mtu anabwabwaja et wameuza mechi😂 , ushaliwa tulia kama mech znauzwa si uache kubet
 
Leo yaani kama team zimepanga matokeo.
Makocha wengine wamepanga vikosi vya hovyo kabisa makusudi.
 
View attachment 3113665
Unaplay safe.. Atletico sio goli tu hata shot on target hajapiga.😃😃
Ila binafsi atletico cjawahi kuwaelewa kwenye mechi zao huwa wanakuwa na malengo gani,,,, na huwa cmgusi hata akiwa nyumbani,,,,,

Japo mpira unadunda ila hawa jamaa na simeoni wao hapana na vile amewapa mafanikio ndo dah,,,,,na washamfanya kama mungu pale kutoka labda atembee tumkongojo,,,,
 
Mbona kama watufokea mkuu ??? Au kweli wewe ni Wakala mtiifu kama unavyoitwa humu ????????
 
Mbona kama watufokea mkuu ??? Au kweli wewe ni Wakala mtiifu kama unavyoitwa humu ????????
Sifoki mkuu ila tuna eleweshana tu kwa sababu huo mtazamo wa kuuza mechi upo hata huku mtaani kwa watu wengi. Sasa nimeshangaa kuona mpaka great thinkers humu wanajifariji kwa mtazamo huo huo. Kuhusu kuwa wakala wa Kanji: kama ni kweli mimi ni wakala wa kanji katika kampuni zote alizo nazo basi mimi nitakuwa noma sana. Maana naona haiwezekani
 
Thanks mkuu.
Nasubiri huo mkeka ili nibet.
I hope mdogo mdogo nitafika.
 
Fungua acc sportybet wekahela ukifanikiwa piga 0689456855 freetoll uchajiwi ntakuelekeza mpwa kuweka codes na kubet kama uko dar tungekaa sehemu ya manukato kama Clight nk ungeelewa fasta mpwaa
Dar nimetoka juzi tu mpwa.
Kumbe kuna mambo ya kupiga simu tena.....
Ndio maana nataka mtu anichezee!!!
Huu mlolongo ni mrefu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…