Lord Lofa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,390
- 2,396
Kabisa aiseee, yaani kama Kocha wa Madrid kikosi alichokianzisha tu unaona kama kabeti kabisaIshakuwa biashara hii sasa hivi, inalipa kuliko mauzo ya jezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa aiseee, yaani kama Kocha wa Madrid kikosi alichokianzisha tu unaona kama kabeti kabisaIshakuwa biashara hii sasa hivi, inalipa kuliko mauzo ya jezi
mkuu hapa wala sio kupanga matokeo, ni vile mpira unadunda ndio kilichotokea!Hizi kampuni za kubeti zinaathiri matokeo uwanjani kwa namna moja au nyingine.
Dawa ni ku stake pesa unayoweza kupoteza, imagine nilitaka kuweka laki kwa madrid na bayern, si ningepata kipigo cha maana, bora niliweka 20k sio mbaya. Kuna matokeo ya kushangaza msimu huu kwenye ligi mbalimbali ulaya.
Hivi kwanini mnachukulia rahisi sana kuwa timu au wachezaji wanabeti? Mnajua ni mchakato mrefu kiasi gani ili matokeo yaweze kupangwa? Kwamba wamiliki wa timu wana panga matokeo, wanaenda kwa benchi la ufundi kutoa maelekezo kuwa leo hii mfungwe, halafu na benchi la ufundi linatoa maelekezo kwa wachezaji kuwa leo wafungwe?Kuna timu zitakuwa zinabet aiseee, hili lichunguzwe haiwezekani
Wakuu mnachukulia poa sana. Ina maana timu kubwa zimeanza kufungwa sasa hivi baada ya makampuni ya kubet kuanza kudhamini? Ina maana miaka ya nyuma timu kubwa zilikuwa hazifungwi na timu ndogo? Kama zilikuwa hazifungwi basi ushindani kwenye mpira usingekuwapo.Kabisa aiseee, yaani kama Kocha wa Madrid kikosi alichokianzisha tu unaona kama kabeti kabisa
Achana nao hao , hayo ni machungu ya kuliwa , wameingia na matokeo Yao mfukoni wanafosi Bayern na Madrid washinde🤣😂🙌 si wnyw tumeliwa tumekausha tunajua ni matokeo ya mpira afu mtu anabwabwaja et wameuza mechi😂 , ushaliwa tulia kama mech znauzwa si uache kubetWakuu mnachukulia poa sana. Ina maana timu kubwa zimeanza kufungwa sasa hivi baada ya makampuni ya kubet kuanza kudhamini? Ina maana miaka ya nyuma timu kubwa zilikuwa hazifungwi na timu ndogo? Kama zilikuwa hazifungwi basi ushindani kwenye mpira usingekuwapo.
Ila binafsi atletico cjawahi kuwaelewa kwenye mechi zao huwa wanakuwa na malengo gani,,,, na huwa cmgusi hata akiwa nyumbani,,,,,View attachment 3113665
Unaplay safe.. Atletico sio goli tu hata shot on target hajapiga.😃😃
Mbona kama watufokea mkuu ??? Au kweli wewe ni Wakala mtiifu kama unavyoitwa humu ????????Wakuu mnachukulia poa sana. Ina maana timu kubwa zimeanza kufungwa sasa hivi baada ya makampuni ya kubet kuanza kudhamini? Ina maana miaka ya nyuma timu kubwa zilikuwa hazifungwi na timu ndogo? Kama zilikuwa hazifungwi basi ushindani kwenye mpira usingekuwapo.
Sifoki mkuu ila tuna eleweshana tu kwa sababu huo mtazamo wa kuuza mechi upo hata huku mtaani kwa watu wengi. Sasa nimeshangaa kuona mpaka great thinkers humu wanajifariji kwa mtazamo huo huo. Kuhusu kuwa wakala wa Kanji: kama ni kweli mimi ni wakala wa kanji katika kampuni zote alizo nazo basi mimi nitakuwa noma sana. Maana naona haiwezekaniMbona kama watufokea mkuu ??? Au kweli wewe ni Wakala mtiifu kama unavyoitwa humu ????????
Mie nataka kubeti timu za nje....za humu ndai naonaga udwanzi sijui kwa nini eti🥴!!Kesho chukua laki 8 mpe yanga mazima chelsea mazima faida laki 4 utakuja kunishukuru
Thanks mkuu.Subiria kesho Mechi ziwekwe Sawa
Nitakupa mkeka
Subiria baadhi ya matches hazijaingizwa,nahisi zitawekwa Saaa Sita mpaka Saba usiku
Then nitakutumia mkeka
Usiku huu huuu kama Saa Tisa,kisha ukimmka utaukuta.
Nasubiria some options na teams ziongezwe ktk muda wake baada ya kuingia siku ya kesho, that's midnight
See it kesho💪💪💪
Dar nimetoka juzi tu mpwa.Fungua acc sportybet wekahela ukifanikiwa piga 0689456855 freetoll uchajiwi ntakuelekeza mpwa kuweka codes na kubet kama uko dar tungekaa sehemu ya manukato kama Clight nk ungeelewa fasta mpwaa