Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Galata
Beskita
Totty
Hawammoja lazima afungwe mjiandae kisaikolojia
 
Mie nataka kubeti timu za nje....za humu ndai naonaga udwanzi sijui kwa nini etiπŸ₯΄!!
Tia laki ...home to win both waves odds 2.5 πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡tulia tuli na pakiti ya ubuyu mwekundu ukisubiri kulipwa pesa yako ...ngoja mimi nikaweke kaelfu 5000 tu

Pia cheza hii ngumu kumeza tia hata 20000 kisha weka one cut ya hivi 830000 kwa 150000πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ‘‡

SPORTYBET.....

21ADB1A
 

Attachments

  • Screenshot_20241003-123550_SportyBet.jpg
    155.5 KB · Views: 5
Sortpesa bado wanataka Faida ya udhamini

Direct Win tu🀣🀣🀣
Wale wa over 1.5 misiba miwili iliyopita tumejifunza kitu 🀣🀣🀣 ila wengine hatukomi
Hii mechi inaweza kuwa na magoli lkn yanga kwa sasa inasemwa sana so wachezaji wanatumia nguvu kujionyesha wao ni nani...

Kocha aliyewavimbia na kutoka 0:1 ft ndo huyo aliyehamia pamba so kama atawini mbinu yake ya kupunguza magoli huwenda ikawa 2:0 au 3:0 ,,, maana wachezaji walioko huku cyo wale wa tabora so itategemea mwalimu wao wanamuelewa nn
 
POSITIVE EDITY ODDS 1255 πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯

1BB8206

Edit very postive edit odds 220 πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯ weka hata sh1000 au sh5000

POSITIVE EDITY ODDS 1255 πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯

1BB8206

Edit very postive edit odds 220 πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯ weka hata sh1000 au sh5000

680747
Matreni matatu niliyo post majuzi limebaki ilo tu la odds 220 ndiyo limevuka vigingi vya jana πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡ japo mimi ninayo mengine ya juzi sikuyapost matatu nayo yamevuka vigingi vizito vya jana ngoja tuone leo πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡
 
Haya mauefa ykiweka hata under 5.5 yotee unakutana. A 7-0 kerotuou
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…