Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

team za spain kwenye mashindano ya uefa mwaka huu ni kuzikwepa tu......
takataka sana, sijui wanacheza utopolo gani,

jana girona, leo sociedad
 
Odd 3 zinapotea hivi hivi yaani 😂
Man U ******* wakubwa! Yaani mimi sikuwa na mpango wa kuwaweka.kwenye mkeka wangu wowote.

Ila nilipochungulia kwenye simu na kuona wanaongoza 2 - 0 ndani ya dk 20 tu za mchezo nikashawishia kuweka kustake upande wao.

Sasa ona kinachoendelea saa hii. Manina zao kabisa!
 
Mi siku waweka kwenye bet slip yangu Muhimu

Nilishawiashika na odd 3 zao nikawafuata mazima na single bet
Wamepunguza faida ya bet yangu nilioshinda
 
Man U ******* wakubwa! Yaani mimi sikuwa na mpango wa kuwaweka.kwenye mkeka wangu wowote.

Ila nilipochungulia kwenye simu na kuona wanaongoza 2 - 0 ndani ya dk 20 tu za mchezo nikashawishia kuweka kustake upande wao.

Sasa ona kinachoendelea saa hii. Manina zao kabisa!
Maanina
 
Kuna mwamba aliwahi kunikanya juu ya Roma ,,,, Jana cjui nn kilinikuta dah,,,,, ila hawa jamaa mmh ,,, Roma Roma niliamini wanacheza na timu ambayo cjui nisemeje ndo yashatokea dah
 
2up ndio ikoje
2Up hii team yako ikiongoza kwa magoli mawili muda wowote mkeka unatiki haijalishi final result adraw hata afungwe.
Mfano kama Galatasaray jana aliongoza mwanzo baadae akaja kudraw ile 2up inakusave
 
Back
Top Bottom