mamylove
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 1,091
- 1,783
Wana wakati mgumuPamba kapewa kaa la moto
Wana wakati mgumuPamba kapewa kaa la moto
Naona umesha maliza kula ubuyu unahesabu pesa tu ulizo kula 💥Sawa, ngoja nijaribu mpendwa
Huyu mchezaji wa pamba cjui akili aliiweka wapi mpk kucheza faulo ya kijinga na kupewa red,,,,, kaharibu hali ya hewani mazima
Ajali ni ajali tu mkuuHuyu mchezaji wa pamba cjui akili aliiweka wapi mpk kucheza faulo ya kijinga na kupewa red,,,,, kaharibu hali ya hewani mazima
Ila alicheza kishamba sana,,,, na uwanjani alikuwa na mchango mkubwa sana,,,, cjui shetani gani alimuingia na lile eneo hakuwa na sababu yeyote ya kufanya vile,,,,Ajali ni ajali tu mkuu
Lwiva unatania au uko siliazi kabisa kwamba una showoff?!!!Naona umesha maliza kula ubuyu unahesabu pesa tu ulizo kula 💥
Kacheze wewe kama ni rahisiIla alicheza kishamba sana,,,, na uwanjani alikuwa na mchango mkubwa sana,,,, cjui shetani gani alimuingia na lile eneo hakuwa na sababu yeyote ya kufanya vile,,,,
Ila ndo soka
Kivipi sijaelewaLwiva unatania au uko siliazi kabisa kwamba una showoff?!!!
Kivipi sijaelewa
Ni ugeni na ushamba pia wa kucheza ligi kuuHuyu mchezaji wa pamba cjui akili aliiweka wapi mpk kucheza faulo ya kijinga na kupewa red,,,,, kaharibu hali ya hewani mazima
Mkuu wengine tuliweka 1&NG so ilikua advantage kwetuIla alicheza kishamba sana,,,, na uwanjani alikuwa na mchango mkubwa sana,,,, cjui shetani gani alimuingia na lile eneo hakuwa na sababu yeyote ya kufanya vile,,,,
Ila ndo soka
Mpuuzi sana huyu, kama unabetia Sportybet ni bora kumwekea 2Up hajielewiGalatasray anataka kufanya ujinga wake tena., kila siku anaongoza halafu goli zote zinarudi.
si wamepata?Azam wangekujua wameshikilia hela yangu nzuri sana wangekaza wakapata bao moja tuuuuuu
Wakati napost ilikua bado hawafunga mkuu 🙏si wamepata?
au uliweka over 1.5?