Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huyu mchezaji wa pamba cjui akili aliiweka wapi mpk kucheza faulo ya kijinga na kupewa red,,,,, kaharibu hali ya hewani mazima
 

Attachments

  • Screenshot_20241003-203209_SportyBet.jpg
    169.4 KB · Views: 16
  • Screenshot_20241003-202708_SportyBet.jpg
    200.6 KB · Views: 14
Galatasray anataka kufanya ujinga wake tena., kila siku anaongoza halafu goli zote zinarudi.
 
Azam wangekujua wameshikilia hela yangu nzuri sana wangekaza wakapata bao moja tuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…