The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
Safi kumfata kengold sio mchezoHii ngumu kumeza inasonga simba to win both half
😂😂😂😂😂Mkuu tupo wengi aisee,Dah kampuni ni sportybet bwana asikudanganye mtu
Flashsave imeniokoa kwa simba ya Camara mkeka unapumua licha ya draw
Kwani "flash save" ni sawa na "2up" ?Dah kampuni ni sportybet bwana asikudanganye mtu
Flashsave imeniokoa kwa simba ya Camara mkeka unapumua licha ya draw
Ndiyo yenyeweKwani "flash save" ni sawa na "2up" ?
Maana mechi ya Simba haikua na option ya 2up, sasa inakuaje mkeka uendelee kupumua? Mimi nilishakata tamaa nilijua mkeka ushachanika ila nilivyoona post Yako nikarudi chap SPORTYBET nakuta mkeka unapumua aisee.
Hii flash save ndo kitu gani?
Zinafanana ila utofauti wake mimi nilivyoona hii flash save ni system yenyewe automatic inaamua kulingana na aina ya mechi yenyewe ila huku kwenye 2Up ww mwenyewe unaset na kumbuka kwenye kuset 2up kuna odds zinapunguaKwani "flash save" ni sawa na "2up" ?
Maana mechi ya Simba haikua na option ya 2up, sasa inakuaje mkeka uendelee kupumua? Mimi nilishakata tamaa nilijua mkeka ushachanika ila nilivyoona post Yako nikarudi chap SPORTYBET nakuta mkeka unapumua aisee.
Hii flash save ndo kitu gani?
Sawasawa hapo nimekuelewa vizuriZinafanana ila utofauti wake mimi nilivyoona hii flash save ni system yenyewe automatic inaamua kulingana na aina ya mechi yenyewe ila huku kwenye 2Up ww mwenyewe unaset na kumbuka kwenye kuset 2up kuna odds zinapungua
hii option sportybet wamefanya unyama sana!Dah kampuni ni sportybet bwana asikudanganye mtu
Flashsave imeniokoa kwa simba ya Camara mkeka unapumua licha ya draw
hata itoa, inampa wateja sana hiyo!Hii flashwin itamfirisi muhindi, anaitoa siku sio nyingi. Naona simba nae alipewa flashwin baada ya kuongoza goli mbili
Yap, offcourse flashsave lazima aweke kwenye mazingira ambayo ni ngumu sana matokeo kubadilika mfano game ya galatasaray last saturday anaongoza 3-0 pale haiwezekani kufikiria kwa madogo wangewe,a kuchomoa zote tatu.hata itoa, inampa wateja sana hiyo!
pia anaangalia na game, mfano jana kwa utd alitoa kwenye "2UP" ila flashsave kwa game huwa hatoi,
kuna game ikifika dk ya 80+ kama timu kubwa inaongoza 1-0 dhidi ya kibonde huwa anatick mkeka (direct win au dc),
Shortcut siku zote ni hasara. Usipaniki MkuuSijawai kubet ila nna shida ya kodi ya kupanga nadaiwa na mwenye nyumba hataki hadith yoyote nipeleke kodi au apige kufuli lake.
Nimewaza kupata helq ya chap chap labda nijaribu betting. Naisaka laki 9 .
Wenye kuguswa mnishauri mimi sijui kabisa betting nimeamasika baada kuona dogo mtaani kapata million mbili aliweka elfu 20 timu kumi zifungane magoli nafikiri kila timu iweke goli haijalishi matokeo nikaona kumbe inawezekana.
Nataka niichome elfu 30 yangu ebu mnisaidie nifanyeje niweke vipi mikeka yangu walau mitatu au minne nipate million, nikiliwa basi nitaachana kabisa na hizi ishu coz sikuwai kuvutiwa nazo.
Unaweza pia kunichek PM unisaidie, nabetia shida sina namna.
usijaribu
hii kazi haihitaji kuweka malengo na hela unayotarajia kula..
Huu mchezo ni hatari mnoo sasa kama hapo AS Roma anapotezaje???
Hii ningeweka kila timu itafunga ingekula kwangu... Kwa hiyo hapa umechoma kiasi gani?