Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

LilleπŸ‘
Nilikupa draw or Win πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Bado Mechi 3 ktk mikeka miwili niliopost itick,mliofuata pray to grab kanji🀲🀲🀲

Mkeka wa
ODDS: 4.63
Na wa
ODDS:- 13.42

Tukutane Saa Sita na Nusu kwa Asante
 
Wewe umeshinda alafu unaomba hela huoni aibu
 
Wewe umeshinda alafu unaomba hela huoni aibu
Dah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anaomba motivation, mumlipe kwa kazi aliyofanya. Hii style ipo sana kwa wapopo X kule akiweka mkeka ukatick anaweka account mumpe mlichoshinda.
Halafu mbaya zaidi wanakuwa hawana shukrani mfano mtu kashinda 10M akampa laki moja analalamika kapewa chache.
 
Kwani wakati anaweka mirka alitumwa, kibaya zaidi yeye hakuweka kama alieeks anaomba hela ya nini?


Je inge loose?!, mtu bila aibu anaweka namba yake adharani atumiwe posho ya kubeti.


Wenzie waliweka buku buku wakitoa maksto ni elfu tatu sa itakuwaje
 
Mpopo anataka nusu Kwa nusu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…