Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Matren yanaondoka mapema kabisa kha hata weather haijafunguka
 
JUVE 1-1
MAN U 0_0
CHELSEA 1_1

BOLOGNA 1-1
Wale wa roma na millan mjiandae juna mmoja analala nanyie
KAMA ULIZIBETIA NIKUJUZE TU FT DRW
 
Angalau hata katika laki 9 angesema ana laki 6 ili angalau achomoe laki aende nayo mdogo mdogo kwa mikeka ya odds 6 au 8 kwa selected team, akipigwa 50,000 anaachana na kubet ili 50,000 iliyobaki akachome nyama apate nguvu ya kutafakari pa kuipata laki 4 ya kujazia
 
yame maniliom ya wachexaji mnasikia kapewa euro kadhaa hizi ndio siju zao za marejesho kwenye timu..imagine

juv
Chelsea
Bologna
na wengineo wameingiza ngapi leo tunapambana hata na 2+ mbwa washaambizana 0-0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…