Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,702
- 2,287
Bet ina hitaji akili sana ya kuokoa pesa unayo chezea na kutafuta faida ushindi πHawa jamaa ni wachaw sjui wanafanyaje
Kanji lazima adondoke tu leo hata afanyeje πππMalalamiko ni mengi leoπ€£
Daa mkuu hata Mimi huyo ndo mbaya wangu amesepa na teni yangu. Odds 17.43 kaharibu yeye sioni tusi la kumtusi mamaye zakeStuttgart makuma kweli nmewaomba goli 2 imegoma imekuja kupewa goli dk za mwisho la penat dah kmmk sa walimfungaje Dortmund goli Tano βΉοΈπ π
Kama una odd za uhakika ....unakosaje mtaji sasa....Nikopesheni mtaji wazee maana odds zangu hamnunui ********[emoji16]
Alafu kacheza na kibonde kabisa yani hizi timu kuna namna sielewi nini kinatokeamalmo[emoji24][emoji24][emoji24]
Huyu kila nikiomba goli moja hatoi nikiacha anatoaAz kaona nitafaidi sana
Betpawa huwa hawana refund zaidi ya ku-cash outLakini si umeambulia refund mkuu?
Amia Gal Sport mkuu, ukikosa tim 1 wanaku refund kulingana na dau uloweka na mzigo ulosoma.Betpawa huwa hawana refund zaidi ya ku-cash out