MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Sio Kwa ubaya ila nikushauri tu betting Haina formula ni ubahatishaji tu , VP je kama ukipoteza pesa yoteπ€ .Bora utafute biashara ufanye mana ata biashara ikizingua Huwa haiendi na mtaji , mtaji utabaiki nao ila sio betting, inaliwa kama ilivo N.B beti kistaarabu, mipira haitabiriki statistics odds ukubwa na udogo wa timu ni nje ya uwanja, ukiingia uwanjani shughuli Haina mwenyewe.Wakamalia sportybet Nina hili Salio nataka mpaka mwakani mwezi wa 6 niwe na million 10 Kwa ajili ya ujenzi naombeni mawazo yenu nitembee vipi
We si ulijipangia matokeo π acha kuwatukana wenzio π we ulifosi matokeo yaje unavotaka weweππ€£, pole ndo betting hyo tuko nje ya uwanja tunawapangia wadau matokeo watokejeLaana yote ya dunia iwe juu ya zambia.
Na tuseme amen
Mbona kuna member humu alionya kuhusu Zambia mapema sanaLaana yote ya dunia iwe juu ya zambia.
Na tuseme amen
Daah we acha tu wamesepa na 80k yangu niliyodunduliza kwa mhindiWe si ulijipangia matokeo π acha kuwatukana wenzio π we ulifosi matokeo yaje unavotaka weweππ€£, pole ndo betting hyo tuko nje ya uwanja tunawapangia wadau matokeo watokeje
hilo salio linaweza kukupa milion 100 au sh 100,.....Wakamalia sportybet Nina hili Salio nataka mpaka mwakani mwezi wa 6 niwe na million 10 Kwa ajili ya ujenzi naombeni mawazo yenu nitembee vipi
Wazee wa odds kichuguu, dau mlima.!!Daah we acha tu wamesepa na 80k yangu niliyodunduliza kwa mhindi
Sawa mkuuhilo salio linaweza kukupa milion 100 au sh 100,.....
imategemeana na bahati tu
Mimi sibeti kabisa hadi ligi zirudi, sizielewagi timu za taifa kabisa yani sijui huwa wanachezaje magoli hakuna ya kueleweka timu hazieleweki piaZambia ashafanya mambo ya ghana jana.. acha nisubiri tu ligi zirudi, hizi timu za taifa jau
Wakenya wamepata goli ila Egypt mpuuzi...mikeka ya matrsni ya hakika nimepost miwili siyo huuHapo kwa Kenya umeliwa. Niamini mimi
Nimekumbuka mechi ya mwisho ya Celtic na rose county ilikua balaaSio Kwa ubaya ila nikushauri tu betting Haina formula ni ubahatishaji tu , VP je kama ukipoteza pesa yote[emoji848] .Bora utafute biashara ufanye mana ata biashara ikizingua Huwa haiendi na mtaji , mtaji utabaiki nao ila sio betting, inaliwa kama ilivo N.B beti kistaarabu, mipira haitabiriki statistics odds ukubwa na udogo wa timu ni nje ya uwanja, ukiingia uwanjani shughuli Haina mwenyewe.
Mastaa wake wote wapo uwanjani ila anachokicheza hakijulikaniNigeria.... blood fool