The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]juzi nimepoteza 50k na zaidi, jana kwa odds za 2 2 tena team nazoziaminiDaah we acha tu wamesepa na 80k yangu niliyodunduliza kwa mhindi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]juzi nimepoteza 50k na zaidi, jana kwa odds za 2 2 tena team nazoziaminiDaah we acha tu wamesepa na 80k yangu niliyodunduliza kwa mhindi
Watu hawafanyi research Mkuu,Ikiwa kuna timu tena kubwa zilizowahi kupata adhabu na mamlaka husika kwa ajili ya kupanga matokeo inatubidi tuamini tu kwamba hiyo biashara haramu ipo.
Kuna mchezaji hapo England alikamatwa na mikeka kibao tena amebetia mpaka mechi anayocheza yeye. Sasa mchezaji kama huyu ukibeti uhalisia tofauti na alivyobeti yeye ndio uhalisia na upangaji matokeo.
Wewe unabeti kadi za njano zitoke under 3.5 first half, yeye anamtafuta refa atoe over 3.5 kwa hiari au kwa lazima na zinatoka kweli.
Sportybet kwani wewe bado ume install virus kampuni kwenye simu yakoKampuni gani hilo tren
Download Hapa Mkuu👇
https://helabet.co.tz/en/mobile
Hapo futa apk kwenye simu yako kisha download. Au rename apk ya 1xbet ambayo ipo kwenye simu yako halafu downloadView attachment 3124122Inasomeka hivi Kiongozi wangu......Msaada tafadhali 😌😌
Ungeiacha tu mkuu liwalo na liwe kuna timu zinashindaga dakika ya 90+9Yaan nime cashout buku 4 nimekosa alfu 50 taslimu
Aisee kweli kabisa niko najilaumuUngeiacha tu mkuu liwalo na liwe kuna timu zinashindaga dakika ya 90+9
Mimi mwenyewe nimefanya hilo kosa mchana. Nime-sell mkeka dakika ya 72 kwa bei ya stake niliyoweka halafu dakika ya 73 goli likaingia.Yaan nime cashout buku 4 nimekosa alfu 50 taslimu