Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

afu team zinazo cheza usku kwanzia saa 8 usik ni kama zinamantiki ivi maan nimejarib kuchez nazo wiki hiii kwanzia jumatano na zote zilikuw zinatik kasoro jana usiku wa kuamkia leo. na odds za nying kuzipangilia zilikiwa odds 8 lakn the rest zilikiw odds 2+ na 1.8 sana wacha nitest tena wiki ijayo maan na iliyo chana kuamkia leo ni team moja tu. na mkek ulikiw na odds 10
 
Watu hawafanyi research Mkuu,
Mimi pia nilikua nikikataa kua zipo. Siku moja kuna mkenya alinipa fixed UEFA, tena robo fainali na zilikua mechi mbili.

Zote correct score na zilitoa. Sema sababu alishanipa before na hazikutoa bas hata hizi za mara ya pili nilizipotezea.

Imepita miaka kama 7 au 8 hivi.
 
Hii kitu mbona nashindwaga kukielewa ...ni gift ya namna gani unafanyaje
 

Attachments

  • Screenshot_20241013-191757_SportyBet.jpg
    158.2 KB · Views: 4
SPORTYBET ODDS 1800 VERY POSITIVE EDIT SASA NAANZA KUSUKA MATRENI YA KUMBANA MBAVU KANJI

7021EE0
 
ODDS 294 VERY POSITIVE EDIT ZERO STRESS πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯ huu pesa anzeni kuedit kutoka huu mkeka .

CE4935B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…