MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Shusheni codes izo wakuu mambo ni mengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SureHela naona ipo.
Na hii weekend hela ipo . Tushindwe sisi
1.708Poa
ODDS ngapi?
Mkuu hio gemu ya zenit miliweka ashinde naenda kwenye mkeka naoma wameniandikia lost kuvheki genu iliosababosha lost naona wameweka zenit kadraw 0 kwa 0 ilihali kashinda 5 ,shida inaweza kuwa nn na suluhiSure
Kwangu imeanza vizurii
CASHOUT button mkononi bado itatoa vizuri,but hopefully it gonna💥💥
View attachment 3128930
Mkuu hio gemu ya zenit miliweka ashinde naenda kwenye mkeka naoma wameniandikia lost kuvheki genu iliosababosha lost naona wameweka zenit kadraw 0 kwa 0 ilihali kashinda 5 ,shida inaweza kuwa nn na suluhi
We umebeti zenit ya watoto zenit yenyewe ya wakubwa ilikuwa inacheza na akron toggliat kifupi umechanganya madesaMkuu hio gemu ya zenit miliweka ashinde naenda kwenye mkeka naoma wameniandikia lost kuvheki genu iliosababosha lost naona wameweka zenit kadraw 0 kwa 0 ilihali kashinda 5 ,shida inaweza kuwa nn na suluhi
Wata irekebishaMkuu hio gemu ya zenit miliweka ashinde naenda kwenye mkeka naoma wameniandikia lost kuvheki genu iliosababosha lost naona wameweka zenit kadraw 0 kwa 0 ilihali kashinda 5 ,shida inaweza kuwa nn na suluhi
Duhhh aiseee hilo nalo nenoWe umebeti zenit ya watoto zenit yenyewe ya wakubwa ilikuwa inacheza na akron toggliat kifupi umechanganya madesa
Chukua hiiii1.708
Mkuu hivi huwa unapata faida gani kuwaingiza watu mkenge na hizi kampuni za kitapeli unazozipigia promo hapa jukwaani?Mkuu siyo Promo, wewe Ukijisajili Utapewa Bonus Ya Mwisho Laki Tatu. Ukiweka 100000, utaongezewa 100000 nyingine. Ukiweka 150000 utaongezewa 150000 nyingine
Duuuh[emoji3][emoji3][emoji3] aiseee sio poa daaah hizi mechi hazipaswi kufatana aiseeWe umebeti zenit ya watoto zenit yenyewe ya wakubwa ilikuwa inacheza na akron toggliat kifupi umechanganya madesa
Kweli mkuu ntakua makiniDuhhh aiseee hilo nalo neno
Mie iliwahi kunikuta,Mechi za Wanawake nilafikiria za wanaume aisee
Mkuu unaposema hizi kampuni ni za kitapeli unakosea sana. Ina maana unataka useme PARIPESA wanatapeli Afrika nzima ambako kampuni ipo kama ilivyo 1xbet? Kwa sababu PARIPESA haipo tu Tanzania tu ipo Africa nzima. Shida huwa ni wakala wa Tanzania waliyeingia naye mkataba wa kuweka na kutoa hela. Pia mimi na Deposit kwa mitandao ya simu mara nyingi natumia Airtel, pia natumia sarafu ya mtandao nk.Mkuu hivi huwa unapata faida gani kuwaingiza watu mkenge na hizi kampuni za kitapeli unazozipigia promo hapa jukwaani?
Binafsi huwa naumia sana ninapo ona unawatumia wakamaria ambao wapo desperate na vipigo halafu unawashawishi waje kuibiwa tena na hizi kampuni uchwara ambazo hata ukidhulumiwa huna pa kwenda kudai haki yako
Ulianza na 888starz ikasepa na hela za watu
Sasa hivi umekomaa na Paripesa na wakati mwingine Helabet wakati unajua fika kabisa ni wasumbufu kuweka na kutoa
Niliweka 30k Paripesa kwa Halopesa nikabet ikafika hadi 270k, nikitaka kuwithdraw mara nakuta option ya Halopesa haipo na ikiwepo transaction inakua rejected by operator..............HUU NI UTAPELI WA KISÈNGE SANA
Hebu tuambie mwenzetu unatumia njia zipi kufanya transactions zako na ikiwezekana tuwekee hapa transactions history yako tuamini kweli na sio unatupanga tu maana siku hizi watu wana hadi demo account kuwajaza watu king
huu ni utapeliHivi mna uhakika hawa Anderlecht ni timu au kikundi cha wacheza sindimbaView attachment 3129215
Noma sana, double chance chalihuu ni utapeli