TANGAZO:-
Kuanzia muda huu,mpaka usiku
Tafadhali usikodi Bodaboda anaeBET litakuja kukuta Jambo,roho Yako unaiweka rehani
Huamini Nenda mida hii pale Chanika, Mwisho,Magenge ,Nguvu Kazi au Nyeburu au Gongolamboto,kisha Kodi uone utavyopelekwa mzobemzobe mtu Awahi KuBET
Utakuta Bodaboda kakunja sura kama kala chumvi,ameset mkeka wa kununua TATA Ili aitwe Boss Mechi ya kwanza tu shwaaaa
All in All tuweni Makini mnoo ma Bodaboda wanaoBET kuwatumia mida na siku za weekends,siku nyingine Poa tu ila weekend mikeka inawavuruga mnooo