Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

MAN CITY πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yaani leo kumechangamka mapemaaa

Una REBET mpaka Mechi inabakia MojaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
TANGAZO:-

Kuanzia muda huu,mpaka usiku

Tafadhali usikodi Bodaboda anaeBET litakuja kukuta Jambo,roho Yako unaiweka rehani

Huamini Nenda mida hii pale Chanika, Mwisho,Magenge ,Nguvu Kazi au Nyeburu au Gongolamboto,kisha Kodi uone utavyopelekwa mzobemzobe mtu Awahi KuBET

Utakuta Bodaboda kakunja sura kama kala chumvi,ameset mkeka wa kununua TATA Ili aitwe Boss Mechi ya kwanza tu shwaaaa

All in All tuweni Makini mnoo ma Bodaboda wanaoBET kuwatumia mida na siku za weekends,siku nyingine Poa tu ila weekend mikeka inawavuruga mnooo
 
Dk ya 80 nimetaka kucasshout 40 nimekataliwa dk ya 90 nimecashout 22 nimekubaliwa dk ya mwisho mancity anapata goli

Sheenz kabisa
 
Back
Top Bottom