Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)

2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...

I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...

II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....

H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...

A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Madrid Jana kidogo atulaze na moka
 
Hatimae wameweka
Wakuu jana nlikuwa na mikeka miwili.

Yote imetiki.

Mmoja ni huu wa muhindi
Wapili shem wenu alikuwa labor, kanizawadia Babyboy

Alhamdulilah
Screenshot_20241023_003125_SportyBet.jpg

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Jamani kuna mdada jana kanitumia link ya biko sport akidai wana bonasi nzuri ukiweka laki wanakuongezea mtaji wa laki inakua laki mbili

nikaweka hela laki moja kweli ikasoma laki mbili nikabet mikeka miwili cha ajabu link haifunguki mpaka sasa sijui hawa biko ni matapeli
Nenda Google chrome kama unayo andika bikosports harafu ingia kwenye account yako,
 
Nenda Google chrome kama unayo andika bikosports harafu ingia kwenye account yako,
haya mambo ya kutumiwa link na mtu kisha unaruka nayo pasipo kujiridhisha kama ni official website yatawatokea puani alafu mje kulaumu kampuni zimewatapeli kumbe umejiingiza kwenye mfumo wa IT wahuni kwa kubofya link uliyotumiwa.!
 
siku zote ni mtu wa kuliwa tyuu..
jaman muhindi nihurumie..
nisaidieni code za leo waungwana nimechoka ku lose
 
haya mambo ya kutumiwa link na mtu kisha unaruka nayo pasipo kujiridhisha kama ni official website yatawatokea puani alafu mje kulaumu kampuni zimewatapeli kumbe umejiingiza kwenye mfumo wa IT wahuni kwa kubofya link uliyotumiwa.!
Bikosports ipo na inafanya waulize watu, sijajua yeye katumiwa link kupitia wapi na nani!? Nimeacha zamani kuitumia nilikula mara Moja tu huko
 
Back
Top Bottom