Lord Lofa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,390
- 2,396
Hamna timu paleJuvee jau sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna timu paleJuvee jau sana
Kuna mechi hata mie badoSportybet hawataki kuupdate nione mzigo wangu ngapi nikalale
Mbona sturtgurt walipata goli mapema tyWoyoooooo
Wooooooyoooo
Shenzi sana ,dk ya 90 + 2
Sturtgut anapata goal
Hatimae mkeka umetiki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Safi , nilutembea na bookings gemu ya aston villa nliweka 3 katoa 6 kama sio 5Mie sikutaka kujizonga
Nikitaambaa nao na Bookings over 2.5 kama nilivyosema Mchana
Kuanza Mechi ya Arsenal na na wenzie hapo chini wote [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 3133026
Hata mimi mkuu nikajua kwangu tuSportybet bado wanajifilia kuniwekea mzigo mechi zimeisha sasa sijui wanataka kunipunja?
Hapana kaka wamepata dk ya 90s , dk ya 86 walipata penalty wakakosaMbona sturtgurt walipata goli mapema ty
Sasa uliweka Tsh 50...Cashout milioni na zimebaki mechi3 unaacha!?? AseeeMechi moja tu ilipigwa na mkeka ukaishia hapo, wkt cashout imefika 1m zilibaki team tatu tu.
AsanteeeeMliozifata hizi bila dhsks mnatabasamu muda huu
Aliweka draw no bet ko haiwez kucashout, cashout inakuja lkn inagoma Kwa sababu kwny mkeka Kuna option ya draw no bet. Kwenye terms and conditions za sportbety wameeleza hlo kwamba option ya draw no bet Haina cashoutSasa uliweka Tsh 50...Cashout milioni na zimebaki mechi3 unaacha!?? Aseee
Umesoma nilichoandika? Nimekwambia iligoma kutoka pamoja na kuwa inaonekanaSasa uliweka Tsh 50...Cashout milioni na zimebaki mechi3 unaacha!?? Aseee
HatariHii kaka ndio imenikuta leo mkuu , na sms nayopokea ndio kma ahio yako .. draw no bet... hadi 6k yangu imeenda
Jaribu juifungua kwa vpnJamani kuna mdada jana kanitumia link ya biko sport akidai wana bonasi nzuri ukiweka laki wanakuongezea mtaji wa laki inakua laki mbili
nikaweka hela laki moja kweli ikasoma laki mbili nikabet mikeka miwili cha ajabu link haifunguki mpaka sasa sijui hawa biko ni matapeli