Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Ukiona over 1.5 hapo tunataka goli mbili au zaidi Ili mkeka utiki....Jamani naombeni msaada nini maana ya 3+ na 2+ streak... Pale sportybet
Na over 2.5 hapo zinatakiwa goli tatu au zaidi Ili mkeka utiki...
Sasa ukiona over 2, maana yake magoli yawe zaidi ya mawili ndo mkeka utakua umetiki lakini kama magoli yataishia mawili basi hiyo bet wataicancel itasoma point 1.. kwa lugha rahisi utarudishiwa hela yako (refunded)...
Ukisema over 2+ hapo ni sawa na over 1.5 magoli yaanzie mawili kwenda juu...