Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,339
- 5,112
Kampuni baadhi za mrusi kufanikiwa kudeposit na kuwithdraw ni kamari tosha.Wakuu hawa helabet mnawaelewa kweli? Mi ndo kwanza nimjirejester nikadiposit 20K lakini wamepita nayo kwenye akaunti haionekani tangu jpil mpaka leo hawajarudisha na kila nikiwapigia simu naona wananirusharusha tu
Mimi kuna kampuni niliwithdraw jumapili na ikawa aproved, baada ya lisaa ikaonesha imeshakuwa completed lakini kwenye simu hamna kitu.
Nimewasiliana nao wakasema niwatumie m-pesa statement lakini mpaka asubuhi bado.
Nikawapigia kwa telegram ndio wanasema inashughulikiwa na financial department.
Sasa fikiria labda hiyo pesa ndio ilikuwa ya nauli na upo ugenini.