Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Hapo sawaBro tusiitane kama hivo, tunakoseana wanaume.
Lengo langu niseme tucheze pawa6 endapo umepata ile message yao. Sikuwa na maana tukamarike na betpawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sawaBro tusiitane kama hivo, tunakoseana wanaume.
Lengo langu niseme tucheze pawa6 endapo umepata ile message yao. Sikuwa na maana tukamarike na betpawa.
Wote roho mkononiHuyu sporting na na Psg mnawaonaje wazee wangu
Uliwapaje maana mpaka Sasa brugge anaongoza 1 dk ya 56Nmembetia milan na brudge kume nimekosea aisee nimebetia watoto
Naomba mungu wasichane tu
Leo nimempa mazima katoq ,ila anaruhus sana goli kama city tu, option nzuri mi kumpa 2UP kama unabetia spShsngai nimemkatia tamaa bure anatandika mtu muda huu
Ume betjeNmembetia milan na brudge kume nimekosea aisee nimebetia watoto
Naomba mungu wasichane tu
Nimewapa over 1.5 nasijui kama atatoaUliwapaje maana mpaka Sasa brugge anaongoza 1 dk ya 56
SAlama kabisa wasipate goli 3Ume betje
SAlama kabisa wasipate goli 3 mfululizo
cashout ya sportybet huwa ni pungufu ya cashout wanayokwambia. mfano wakikwambia cashout ni 100,000, ukicashout utapata pungufu ya 100,000.Hii imekaaje wakuu natakiwa kushinda 378k lakini cashout imefika 380k?
Sasa mkuu si utapeli huo?cashout ya sportybet huwa ni pungufu ya cashout wanayokwambia. mfano wakikwambia cashout ni 100,000, ukicashout utapata pungufu ya 100,000.
hapo unatakiwa kushinda 370k lakini wamekutamisha na cashout ya 380k. mtego huo, ukicashout utapata pungufu ya 380k na 370k.
ni wizi kabisaSasa mkuu si utapeli huo?