Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aiseee.......
something is wrong somewhere......
mbona pepo la timu moja linaniandama sana?
 
UEFA:-

Ukikuta Corners over 6?5 pita nayoooo zimenitoa saaaana

Pia ukikuta bookings over 2.5 pita nayoooo,pia zimenitoa saaana
Mwanzo waliweka nyingi baada ya kuwa zinamtoa wakapunguza matches

Leo nimeona matches mbili Zina corners over 6.5

Pia match Moja ina bookings over 2.5
Team za italy znatoa sana kadi

Team za germany znatoa sana GG zikiwa bundesliga

epl Teams znatoa kona, goals na bookings sana
 
Bado nina mikeka mitatu inapumua,
Ila kuna mmoja Pyramids alitaka kuuchana.
Nilimpa ushind au draw.
Ila dk 90 naona 2-2.
Ila alitanguliwa 2-1 dk 84 hv.
Aaagh nikammind kinoma
Huyu pyramid kapita na mkeka wa tren wangu nlimpa mazima
 
Back
Top Bottom