Mkuu umeangalia vibaya hizo unapigia hesabu ni statistics sio odds, odds ni hizo chini hapoChukua 30k igawe mara tatu weka home, away na draw hapo utapoteza 20k kwa sababu lazima upate option Moja lakini hiyo 20k unarudi.
Mfano akiwin home unapata 140k, hasara 20k, then faida 110k umerudishwa pesa Yako na faida ya 110, ikiwa draw unapata 110-30k faida 80k, ikiwa away 200l-30k faida 170.
Mwisho wa siku bado upo kwenye utamu
Hapo sawaMkuu umeangalia vibaya hizo unapigia hesabu ni statistics sio odds, odds ni hizo chini hapo
Chana na kampuni za uchochoroni...Helabet ni wezi week ya pili sasa hawataki kunirudishia 20K yangu na ata mawasiliano yao yamekuwa ya kihuni
Yaaah wako na usajili bongoWamesajiliwa bongo?
Tumia website mzeeJamaa wana app nzuri sana, nimedownload hapa ila installation haijawa complete hawatuki confirmation code
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Kuweka na kutoa pesa tumia websiteNi kweli app yao ipo vizuri, njia za kuweka pesa zipo ila nikiweka kiasi hairespond
Ndo waanzaWakuu gemu ya kengold vs dom city ngapi ngapi huko
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
uhakika kweliiii013AD1F Sportbety
Edit kwenye wasi wasi mkuuuhakika kweliiii