😃😃 Akili Gani hiziChukua 30k igawe mara tatu weka home, away na draw hapo utapoteza 20k kwa sababu lazima upate option Moja lakini hiyo 20k unarudi.
Mfano akiwin home unapata 140k, hasara 20k, then faida 110k umerudishwa pesa Yako na faida ya 110, ikiwa draw unapata 110-30k faida 80k, ikiwa away 200l-30k faida 170.
Mwisho wa siku bado upo kwenye utamu
2-2KENGOLG VP WAKUU
Asant
Asant
Mkeka wa moto sanaaa ila mzuriLivingston win
Orlando pirate win
Odds: 4.23
Ngoja tuone itakavyokuwa mkuuMkeka wa moto sanaaa ila mzuri
2-2 FTKENGOLD NA DODOMA JIJI VP UKO MATOKEO
Mzee hii mechi uliweka maini na figo nini?KENGOLG VP WAKUU
Nlweka stake kubwa 2+ ilikua 1.58Mzee hii mechi uliweka maini na figo nini?
Nlweka stake kubwa 2+ ilikua 1.58Mzee hii mechi uliweka maini na figo nini?
Mkuu ungepotea naona Kuna game apo mbili umezipa win draw na wametoka draw Sasa direct si ungepoteaNingejua hizi timu zote ningezipa win badala ya win or draw maana naona karibu zote zinaendelea kutick