Pamoja sana🤝
Double chance uhakika..lazima kuwin lazio hawezi huyo jamaa akiwa home ni hatariWakuu salama?
Leo jamani mkimuangalia lazio anaweza kutoa Double chance au como atachana mkeka?
Nataka kwenda na odds kumi leo nichukue ka millioni
6E5F51
Sportbets
Weka dau dogo kuna mechi umezipa away win lakin ziweza toa draw mfano hiyo ya asteras tripolis
Sawa sawaSporpesa odd 2.3
WZWVDH odd chache za uhakika
Jana kuna moja nilipost alichana Chelsea peka yake hakutoa over 0.5
Hii ya leo probability 100 percent.
Kipigo kwenda mbele
Pole sana!Akaunti nilitengeneza na nilifanikiwa kuweka kiasi cha shilingi 10,000. Shida ni kwamba kila nikitaka kuplace bet naletewa ujumbe huo wa maandishi mekundu
Nikiwasiliana nao wanasema akaunti ipo kwenye uhakiki. Miezi mitano sahz naambiwa hivyo.
View attachment 3112021
Pole sana!
Ila mwamba ukizinguliwa si unahama Kampuni, make una hela yako bet kwingine na makampuni kibao. Labda kama una Hisa apo sawa![emoji188kuha
Timu za italy kamari kwa sana.Ahahh mshasema sana hivi lakin ukiona juve vs Monza unasema monza mzembe nampa juve ashinde
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Mkuu bado nasubiri code yako kama ulivyosema😉Sporpesa odd 2.3
WZWVDH odd chache za uhakika
Jana kuna moja nilipost alichana Chelsea peka yake hakutoa over 0.5
Hii ya leo probability 100 percent.
Hauwezi ku rebet? au ndo Mancity ilikuwa game ya mwisho?ama kweli tamaa mbaya mkeka wangu wote wa odd,2000 mancity unaniharibia dah na cash imefungwa dah jaman nalala kinyonge ten limeenda
game ya leo lazio game ya leo anshinda shaka ondoa kabisaWakuu salama?
Leo jamani mkimuangalia lazio anaweza kutoa Double chance au como atachana mkeka?
Italian market haipo stableWakuu salama?
Leo jamani mkimuangalia lazio anaweza kutoa Double chance au como atachana mkeka?
🙏🙏🙏Kaka ule mkeka wako nliedit mechi kadhaa nikaongeza zangu umetki ,bless
HayaKMC vs NAMUNGO
Over 2.5
Stake Tsh: 150,000 usepe na laki Tatu na chenji
Tukutane kwa Wakala
KMC vs NAMUNGO
Over 2.5
Stake Tsh: 150,000 usepe na laki Tatu na chenji
Tukutane kwa Wakala