Kila maiti anafufuka na mtu wakeleo singida bs kulikoni?
sparta prague nae kimeo leo
Ni pepo la mikosi mkuu, likikupata hilo utajutaHivi hii hali ya game moja tu kuchana kila mkeka uwa ni pepo au ni kitu gani hiki? Yaani mikeka saba mfululizo, inachanwa na game moja. Huu wa leo ulikuwa na game 14. Zote zimetiki man city kauchana. Uwa ni kitu gani hichi?!
Daah mpaka najilaumu kwanin nlikosa stake za kuliweka hili tren mchongoko la mwamba apa lilikua na odds elf 82🔥 linakimbiza balaa mpaka sasa kachana city tu,Sportybet
08816B
🤣Daah mpaka najilaumu kwanin nlikosa stake za kuliweka hili tren mchongoko la mwamba apa lilikua na odds elf 82🔥 linakimbiza balaa mpaka sasa kachana city tu,
afu unakuta kuna kidaladala cha mwenge mawasiliano kina abiria 50 tu ila masaa mawili tu kishachana timu 7 hii weekend itengwe😅😂
GOOD MORNING.... LEO ATAKUWEPO AKITOA USHUHUDALeo na jana kanji kakusanya
Ahahha mkuu mimi nlikuwq na treni la odds 46 gemu 18 city pekee ndio kachanaHivi hii hali ya game moja tu kuchana kila mkeka uwa ni pepo au ni kitu gani hiki? Yaani mikeka saba mfululizo, inachanwa na game moja. Huu wa leo ulikuwa na game 14. Zote zimetiki man city kauchana. Uwa ni kitu gani hichi?!
Tafuta mechi 3 zenye odds kuanzia 1.7 alafu wekaWakuu nimepewa bonus apo...ssa kila nikiplace inagoma
View attachment 3142326