Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi hii hali ya game moja tu kuchana kila mkeka uwa ni pepo au ni kitu gani hiki? Yaani mikeka saba mfululizo, inachanwa na game moja. Huu wa leo ulikuwa na game 14. Zote zimetiki man city kauchana. Uwa ni kitu gani hichi?!
 
Sportybet

08816B
Daah mpaka najilaumu kwanin nlikosa stake za kuliweka hili tren mchongoko la mwamba apa lilikua na odds elf 82🔥 linakimbiza balaa mpaka sasa kachana city tu,

afu unakuta kuna kidaladala cha mwenge mawasiliano kina abiria 50 tu ila masaa mawili tu kishachana timu 7 hii weekend itengwe😅😂
 
🤣
 
Muhindi lazima kesho akatoe ushuhuda kanisani
sio kwa kutajirika huku
Leo na jana kanji kakusanya
GOOD MORNING.... LEO ATAKUWEPO AKITOA USHUHUDA
 
Attachments

  • Screenshot_20241019-231925_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20241019-231925_WhatsApp.jpg
    273.7 KB · Views: 3
Hivi hii hali ya game moja tu kuchana kila mkeka uwa ni pepo au ni kitu gani hiki? Yaani mikeka saba mfululizo, inachanwa na game moja. Huu wa leo ulikuwa na game 14. Zote zimetiki man city kauchana. Uwa ni kitu gani hichi?!
Ahahha mkuu mimi nlikuwq na treni la odds 46 gemu 18 city pekee ndio kachana
 
banner_tips2424_689068.jpg

Jana Ilikuwa Siku Mbaya Sana Kwa Sisi Wakamaria Baada Ya Gemu Nyingi Kuchana. Tujaribu Leo Kutengeneza Hela Kupitia Betting. Tutatumia PariPesa

Huna Akaunti Ya PariPesa?

Jisajili Hapa 👉 https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code: TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Baada Ya Kudeposit.
 
Back
Top Bottom