Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Usijidanganye kubetia timu za Italy hasa Napoli na AC Milan kwa kutegemea chochote kitu kutoka kwao
Yes ni kweli ila msimu huu Napoli amecheza mechi 5 nyumbani kwake na ameshinda zote kipindi cha pili. Atalanta wakirudi hawatakuwa aggressive kama mwanzo naamini hii mechi inaweza kuisha 1 kwa 2 au 2 kwa 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…