Mkuu siku Ile aliyomfunga arsenal alifanya wengi tukaliwa ela Leo tumemwamini kashindwa toa ata gg kafanya tena tuliwe Bora angekubali kufungwa Na arsenal tuYaani Arsenal unamfunga ila unashindwa mfunga Burnley
Watford anakufunga
Wakuu leo liverpool msimpe ushindi wa moja kwa moja
Daaaah.....Guess what liverpool form
LWLWLW....
Basi mie jana nilipatwa na tukio baya sanaHakuna tukio baya kama kuliwa mtaji
Cheza ya magol haina presha sana, me nakomaa na 2+England siwezi bet kabisa timu zinacheza kamari
Mjinga yule gilligilan sijui kapigwa 5-0, kashindwa ata kuchomoa goli moja. Ngoja tucheki game zinazofata.Respect mkuu bado timu moja tu umtusue
yani GG nazo zina mizimu , nikiweka 6 nakosa moja nikiweka tatu nakosa moja shida tupuMjinga yule gilligilan sijui kapigwa 5-0, kashindwa ata kuchomoa goli moja. Ngoja tucheki game zinazofata.
DERBY kaku...... supriseMie nipo hivi
Derby
Young boys
Basel
Roda
Ajax
Kopenhagen
All goal first half 1+
Mungu plllz suprise isitokee hapa
Daaah yani nimesema nisiende fiesta leo hii hela niizalishe matokeo yake yote imeenda, bora tu ningekuwa sasa ivi naenjoy kirumba daah yani nalala kama nimemwagiwa maji leo...popote patakapokuwa na fiesta ntaifata kufidia siku ya leo....mtaji wangu wote umeenda kwa suprise za leo daaahDERBY kaku...... suprise
pole braza ndo betting jmos na jpl suprise ni nying sana jitahid kubet timu 3 tena zenye odd 3 kwako kila siku itakuwa ni sikukuuu........Daaah yani nimesema nisiende fiesta leo hii hela niizalishe matokeo yake yote imeenda, bora tu ningekuwa sasa ivi naenjoy kirumba daah yani nalala kama nimemwagiwa maji leo...popote patakapokuwa na fiesta ntaifata kufidia siku ya leo....mtaji wangu wote umeenda kwa suprise za leo daaah
Leo mebeti timu nne mikeka 3 yote ikaliwa afu na huo wa mwisho nao nkapigwa za uso.pole braza ndo betting jmos na jpl suprise ni nying sana jitahid kubet timu 3 tena zenye odd 3 kwako kila siku itakuwa ni sikukuuu........
#HAINAGA WOGA TUNAKULAA, NASKIA HAINAGA WOGA TUNAKULAGAA.... ZAMU YA NANI LEO,? ZAMU YA CHRIS41, ZAMU YAKO ITAKUJA USIKONDE BAHARIA WANGU....
EEH MUNGU BARIKI MKEKA HUU