oko majimaji
JF-Expert Member
- Nov 11, 2016
- 790
- 2,079
Hii option nayo ni ngumu hapo utashangaa kuna timu dakika ya kwanza itapigwa goli.Jamani kwema Mimi nataka kujua naipataje hii option kwenye sportybet
Maana nimeitafuta kwenye game mbalimbali lakini nimeikosa kabisa
1X2..10 minutes 1 up to 10 minutes
huyu haja-edit kweli?View attachment 3145707sisi tunacheza tu ila kuna watu wana risk kwenye betting [emoji817][emoji817][emoji817][emoji95][emoji123][emoji123]
No edit
No fix
Huyu feyenoord huyu kampiga benfica 4 akiwa home alafu anapigwa kwake na Salzburghuyu haja-edit kweli?
maana unampaje RB Salz wakati kapoteza mechi zote zilizopita, na anacheza na fayernood timu ambayo imeshinda mechi ngumu kuliko hii?
alafu eti unampa Salzburg ashinde (ambae hana point hata moja kwenye game 3 alizocheza!),Huyu feyenoord huyu kampiga benfica 4 akiwa home alafu anapigwa kwake na Salzburg
Team mbili zimeharibu sherehe
Mimi kachana yeye na bayern niliweka over 1.5 katoa goli moja tuualafu eti unampa Salzburg ashinde (ambae hana point hata moja kwenye game 3 alizocheza!),
anyway, Feyenoord kanifanya kitu mbaya sana jana..... bado sijaelewa amefungwaje na ile timu
Ahaha kadanganye watoto, tuoneshe mkeka uliotiki kwa kubetia hivi.View attachment 3145707sisi tunacheza tu ila kuna watu wana risk kwenye betting [emoji817][emoji817][emoji817][emoji95][emoji123][emoji123]
No edit
No fix
Leo najiunga na Paripesa kupitia hii code yako mkuu... Je hawazingui?? Mana mpaka sasa helabet wamepita na 20K yangu na hawataki kuirudishaView attachment 3146050
Corner On PariPesa β½
Booking Code: 18MB3
Bet PariPesa
Jisajili PariPesa Hapa π https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: TIPS2424
Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya Asilimia 200.
Jiunge mkuu, Deposit iko Poa tu mkuu. Nimedeposit muda si mrefuLeo najiunga na Paripesa kupitia hii code yako mkuu... Je hawazingui?? Mana mpaka sasa helabet wamepita na 20K yangu na hawataki kuirudisha
Deposit poa withdraw shida. Mimi leo wiki ya pili hakuna cha pesa yangu.Jiunge mkuu, Deposit iko Poa tu mkuu. Nimedeposit muda si mrefu
Deposit poa withdraw shida. Mimi leo wiki ya pili hakuna cha pesa yangu.
Mkuu jana nime withdraw vizuri kabisa. Lakini pia wasiliana nao mkuu utarudishuwa pesa yakoDeposit poa withdraw shida. Mimi leo wiki ya pili hakuna cha pesa yangu.