Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi kati ya
Kumyima Tabora goli
Au
Kumpa Yanga over 1.5
Ipi angalau inatia matumaini ya kutoa?
Hii mechi option zenye unafuu wa kutoa zina odds ndogo sana na kuna uwezekano zikatoa kwa presha kubwa.

Mfano direct win odds zake ndogo sana na hazifai, inakulazimu uweke 1H Win na anaweza asishinde akaja kushindia 2H.

Kwa hapo naona kumpa yanga goli 2 kuna unafuu zaidi kuliko kummyima Tabora.
 
Kuna namna team kubwa zinatuhujumu
Kuzidiwa tu, maana unakuta timu inaotea kigoli alafu wanarudi nyuma na kutoka kwa hesabu,,, alooh mtashambulia sana na hamna kitu
Ila wakijifanya kuzoea ndo zile magoli ya bayan mara tano, saba .....
 
Hii mechi cjajua tabora wataingia vipi,,,,
Binafsi huwa naamini kipindi cha kwanza dro,,,, na tabora akiruhusu basi atatoboka mengi,,, akitangulia kupata goli basi yanga watakuwa kwenye presha
So naamini yanga itacheza kikubwa na kujaribu kutumia nafasi chache watakazo zipata
 
1xbet
C34L3

Probability 77%

Stake what you can afford to lose 🙏
 

Attachments

  • 773C6D2B-7F21-4AF3-9D97-84A52B7D8B00.png
    199.1 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…