tutajie account ya huyo tipster tumwangalie wote. siyo unamwangalia peke yako tuView attachment 3146529tangu jana kazi ilipostiwa mtabakia kudema tu onhooo edit π€ π€ hapo bado haijasahihishwa ila ikichanika poa ila aidea ipooπ―π―π―πͺπͺπͺ
Ukisikia βUkikaa nchale...... ukisamama nchaleβ ndio hii sasa πHivi kati ya
Kumyima Tabora goli
Au
Kumpa Yanga over 1.5
Ipi angalau inatia matumaini ya kutoa?
MBACHOPHDπΉπΏ
Why invest left, when you can invest right. Start your betting journey with us .t.me
Yani option zote zimechana, ilibidi nimuwai al ahly nikamfata mazima single bet angalau kanipunguzia machungu ya yangaUkisikia βUkikaa nchale...... ukisamama nchaleβ ndio hii sasa [emoji23]
Ile ilikuwa editing bhana,,,, we mtetee ujuavyo,,,,, majibu umeyapata hapaView attachment 3146529tangu jana kazi ilipostiwa mtabakia kudema tu onhooo edit π€ π€ hapo bado haijasahihishwa ila ikichanika poa ila aidea ipooπ―π―π―πͺπͺπͺ
π€£π€£π€£π€£Ila mzize nina mkosi naye sana aisee
Magoli yake ya jioni hayajawahi niacha salama dah
Elewa kuwa wakienda mapumziko na wakafanya sub,umelost maana inahesabika kuwa ni half ya kwanza,ila kila la heri.97.9%
Mkuu kumbuka kuwa kuna namna wanazi double hizo odds,mfano ukisuka mkeka wa odds 70 then ukaongeza timu moja yenye odds ata 1:50 utaona 0dds zako 70 zimepanda mpk 150 au ata 200.mkuu uliishia la nne C au?
odd 27 kwa laki moja unapata ten milion?
Kinachoongelewa ni hiyo mechi Moja ya yanga.Mkuu kumbuka kuwa kuna namna wanazi double hizo odds,mfano ukisuka mkeka wa odds 70 then ukaongeza timu moja yenye odds ata 1:50 utaona 0dds zako 70 zimepanda mpk 150 au ata 200.
MnaziangLizia wapi zile video? Kuna mtu anataka hapa.Acha niiungie bando tu la kuangalizia zile videos 400+ nimeumizwa sana na haya matokeo ππ
View attachment 3146384