Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Betting bhna , watu nimewapa kona 9 , hadi 1H zilikuwa kona 6 , hadi dk ya 90+2 kona 8 yan kona moja tu inanichania mkeka wangu
 
Vp wakuu iv parimatch huwa hawana huduma ya kutoa pesa usiku🤔
Tabia hii walikuwa wanayo premier bet,ukitoa hela usiku inaingia kesho yake mchana nikawakimbia.
Ila siku hizi kampuni nyingi mpunga ukitoa chap muda huo muhamala unasoma.
Hata meridian nayotumia wako hivyo.
 
Haya tena city karemba na goli moja mwisho kapigwa viwili vya fasta
 
Jahazi linaAmma ndugu zangu
 

Attachments

  • Screenshot_20241109-221231_Megapari.jpg
    347.6 KB · Views: 3
Ila city hakua anaeleweka alafu Brighton sio mnyonge kiivyo kumbetia city ilikua risk sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…