Pole mkuu. Hii biashara ni ngumu kinoma , Ila hatutakiwi kukata tamaaAiseee dk ya 92 Leverkusen kaachia ushindi
Nimepishana na hela nyingi mmno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu. Hii biashara ni ngumu kinoma , Ila hatutakiwi kukata tamaaAiseee dk ya 92 Leverkusen kaachia ushindi
Nimepishana na hela nyingi mmno
Sawa mkuu nakutakia kila la kheri malengo yako yatimieMkuu malengo tayari yapo. Cha msingi hii hela ije mkuu
Mkuu Ila inataka uvumilivu mkubwa sana. Muhimu ni kutokata tamaaSawa mkuu nakutakia kila la kheri malengo yako yatimie
Mkuu Ila inataka uvumilivu mkubwa sana. Muhimu ni kutokata tamaa
Mkuu hio option ya away or over 2.5 unaipata wapiHaya kumekucha
Milan nae kaanza kichapo kwa Ihefu fc
Niliwakimbia kwenye options mapemaaa,nawadai sasa magoli 2
View attachment 3148002
Tabia hii walikuwa wanayo premier bet,ukitoa hela usiku inaingia kesho yake mchana nikawakimbia.Vp wakuu iv parimatch huwa hawana huduma ya kutoa pesa usiku🤔
Scroll down utaikuta ipo wazi tuMkuu hio option ya away or over 2.5 unaipata wapi
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app