Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mtandao wako ndiyo wenye shida huko uliko. Mimi natumia PariPesa Na iko fasta sana. Pia kwa njia ninayo tumia kubet mimi Sportybet haifai kwa high stake. Angalia machaguo niliyo chagua mimi, halafu Angalia kama utayaona yapo Sportybet
Sometimes uwe unasema kweli. Huwezi kuweka hizo stake SPORTYBET sababu kule hakuna demo account.

Kampuni za kirusi wanazingua kuwapa nyie agents wao demo account. Hiyo yako ni Demo account
 
Sometimes uwe unasema kweli. Huwezi kuweka hizo stake SPORTYBET sababu kule hakuna demo account.

Kampuni za kirusi wanazingua kuwapa nyie agents wao demo account. Hiyo yako ni Demo account
Sawa mkuu.
 
NDIO Nalala sasa baada ya kukesha na Mechi za kumalizia za Usiku

Inter Miami alikuwa NDIO wa mwisho ila nime Cashout,maana hii match ipo live SPORTYBET ila Suarez na Messi hawana mpango sioni dalili za kurejesha,ila thanks CASHOUT ipo vizuri

Acha nipumzike, tukutane saaa 4 Asubuhi kwa mkeka wa kufungua wiki
 
Hongera mkuu. Ingawa muda bado. Anaweza kusawazisha na kufunga pia.
 
Haya ndo majibu ya Paripesa kuhusu pesa yamgu iliyozama kwa siku 17 leo.

Habari. Kwa bahati mbaya, bado hatujapokea jibu kutoka kwa mfumo wa malipo. Tunawakumbusha kila mara juu ya shida. Tutakujulisha mara tu tutakapopokea taarifa yoyote.
 
Mkuu tutaingizwa sana mkenge na huyo wakala wa Paripesa anaye wahadaa hapa jukwaani kwa Demo acc anastake malaki kwa mamilioni
Kitu pekee cha kweli anacho post ni mikeka yake
Lakini anatumia DEMO ACC

Paripesa ni MAJAMBAZI
Hawana kibali cha Bodi kufanya kazi Tz, hawana ofisi na njia wanazotumia kuweka hela ni za ujanja ndio maana kutoa na kuweka ni Mtihani kweli kweli

Kuna wahuni wachache kama huyo anayepiga promo humu ndani wanapata gawio kwa kila mteja atakeye jiunga na kupigwa hela zake
Hao una chat nao ni wahuni tu labda utakuta anakujibu yupo zake kitambaa cheupe analewa tu na kuvuta shisha kwa hela za wakamalia wao hangaika labda watabahatisha
 
Sometimes uwe unasema kweli. Huwezi kuweka hizo stake SPORTYBET sababu kule hakuna demo account.

Kampuni za kirusi wanazingua kuwapa nyie agents wao demo account. Hiyo yako ni Demo account
Mkuu nilikua sijalijua hili
Huyu huyu mbiga akanijaza king nikafungua acc Paripesa nikadeposit 70k
Ilichukua wiki 3 hela kufika kwenye acc
Nikacheza ikafika 370k, nilipotaka kutoa nikakuta njia ya Halotel niliyowekea hela haipo na masharti yao eti ni lazima utoe kwa njia uliyowekea tu

Nimevurugana nao mwezi mzima sijapata hata sh1
Nikataka kuwashitaki bodi ya kamari nikaambiwa hao ni wahuni hawana kibali na bodi haiwezi ku control kila kitu kwenye internet
Nikashauriwa kuwa makini na matapeli
 
Naona watu mnahangaika sana na izo Kampuni za Kubeti as if hamuioni au hamuijui SPORTY BET, Mtalizwa mpaka mnyooke.!!
Sijui wanafataga nini huko wakati kuna kampuni game ikiisha tu unatoa chako bila usumbufu,
mara hela unadeposit haifiki mara unawithdraw haifiki kwa account na ni kesi za kila siku wakati anaeipigia promo hujawai msikia yeye amepata shida yoyote ya kudeposit wala kuwithdraw

Kuna jamaa kule Twitter nao wanapromote helabet wameshtukiwa kuwa wanatumia demo account,
 
wengi wanakimbilia deposit bonus na free bets, anyway
kila mtu apambane na hali yake
 
Helabet na 1xbet kwasasa wamesajilowa bongo na wanalipa kodi na wana ofisi kwasasa.

Tumia hizo kampuni kila kitu zinafanana na Paripesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…