Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Madrid
Atletico
Genk
Gent
Marseille
Anderletcht
PSG
Bologna
Milan
Napoli
Odd 156
All win.
 
 
Madrid
Atletico
Genk
Gent
Marseille
Anderletcht
PSG
Bologna
Milan
Napoli
Odd 156
All win.
Mkuu ijapokuwa huu ni mchezo wa kubahatisha, ningekuwa wewe ningewachomoa genk, bologna, milan, anderletcht na marseille halafu nikatupia dau kubwa.
 
Mkuu ijapokuwa huu ni mchezo wa kubahatisha, ningekuwa wewe ningewachomoa genk, bologna, milan, anderletcht na marseille halafu nikatupia dau kubwa.
Mkuu asante kwa ushauri. Bahati mbaya nimeshautupia. Labda tu nistawishe nguvu kwenye kuyabinya game zikianza....lol!
 
Poleni na majukumu ya mawindo ya kila siku. Kama nilivyowaaga nilikuwa safari tangu jumatano lkn leo nimerejea mjini.

Nina elfu 75 nahitaji kuidable kwa namna yoyote ile, naombeeni odd 2.3 tu plz
 
Baada ya likizo isiyokuwa na malipo, jana nilijaribu kupima kiwango kama naweza ingia mashindanoni na kuonesha ushindani uliotukuka.
 

Attachments

  • IMG_20160821_112641.JPG
    42.7 KB · Views: 41
Dawa ya Kanjubay ya leo, kokoro limesheheni, limeundwa likaundika, nyuzi zake ni imara hakuna jiwe wala gugu linaweza toboa, matundu yake yanakidhi vigezo kiasi kwamba nyoka na magugu haviwezi vuliwa isipokuwa samaki tu wa size inayotakiwa, heri mtu yule asiyekuwa na mashaka nalo.
 

Attachments

  • IMG_20160821_113439.JPG
    40.5 KB · Views: 42
Poleni na majukumu ya mawindo ya kila siku. Kama nilivyowaaga nilikuwa safari tangu jumatano lkn leo nimerejea mjini.

Nina elfu 75 nahitaji kuidable kwa namna yoyote ile, naombeeni odd 2.3 tu plz
Unahangaika nini wakati Astana leo yuko uwanjani na ana kitu kama 1.34 then mpe Zidane X2 iko kwenye 1.38 then Atletico W nenda France mpe X2 Marseille... jioni bia saaafi kabisa.
 
Zorya luhansk Win

Atletico Win

Real Madrid Win

PSG Win

Benfica Win

Shakter Donetsk Win

Bayer Leverkusen Win

stake:2000
 



Hili limeshakuwa janga kbs ... ubabaishaji wa namna hii sijui utaisha lini. Mbona betting sites za nje ziko poa 24/7?? Huu ni uhuni kbs

 
Unahangaika nini wakati Astana leo yuko uwanjani na ana kitu kama 1.34 then mpe Zidane X2 iko kwenye 1.38 then Atletico W nenda France mpe X2 Marseille... jioni bia saaafi kabisa.

Mkuu asante, lkn mm huwa napenda timu zisizidi 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…