Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu,najua hakuna betting yenye uhakika. Naomba wazoefu waniambie ipi rahisi kumkwangua Kanji kati ya Aviator na kubetia timu
 
Wakuu,najua hakuna betting yenye uhakika. Naomba wazoefu waniambie ipi rahisi kumkwangua Kanji kati ya Aviator na kubetia timu
Kubetia timu, huko kwenye kindege Hatari sana ni dk Moja tu unaskia shwaaaa, Bora kwenye kubetia timu Kuna cash out
 
Kuwa makini hata siku moja usiweke pesa nyingi ukafata mikeka ya Hawa agents wa kampuni za kirusi. Huwa wanatumia demo account, ndio maana unaona wanaweka tu mikeka ya laki 5, laki 8, milioni n.k

Ukiifata tu na kuweka kama wanavyoweka inakula kwako, wewe unatumia real account unatumia pesa kweli, wao hizo sio pesa za kweli ni account wanafunguliwa za mfano ili kutangaza kampuni.
 
Naona watu mnahangaika sana na izo Kampuni za Kubeti as if hamuioni au hamuijui SPORTY BET, Mtalizwa mpaka mnyooke.!!
Kampuni za kirusi ni nzuri zina markets nzuri sana kuliko SPORTYBET, na limit ya ushindi ni kubwa mno(over mil 500) , sportbet mwisho ni mil 90

Tatizo lao hizo za kirusi ni hazipo vizuri Sana na mifumo yetu ya miamala ndio maana kuna shida kubwa kwenye kuweka na kutoa. Pia tatizo lao ni hilo la demo account wanazowapa agents wao kuaminisha watu uongo
 
Nawakumbushaga sana watu usiweke mkeka kwa kufuata hawa agents wa kampuni za kirusi sababu wanatumia demo account. Utaona kaweka milion mtu nae anafata bila kujua mwenzie ile sio pesa ya kweli ni mfano tu
 
Nawakumbushaga sana watu usiweke mkeka kwa kufuata hawa agents wa kampuni za kirusi sababu wanatumia demo account. Utaona kaweka milion mtu nae anafata bila kujua mwenzie ile sio pesa ya kweli ni mfano tu
Unashangaa timu zinazochana ndo hizo hizo na wao wanachaniwa ila utashangaa kila siku mtu stake 500k 350k hadi million, odd 20+ mtu anatupia 500k kweli kabisa, kuweni makini
 
Unashangaa timu zinazochana ndo hizo hizo na wao wanachaniwa ila utashangaa kila siku mtu stake 500k 350k hadi million, odd 20+ mtu anatupia 500k kweli kabisa, kuweni makini
Mjini akili, wao wanalipwa commission kwa kuingiza watu kwenye kampuni. Pesa anaipata kwa nyie kujiunga na kampuni na kucheza, hapo ndio analipwa commission

Hapo ndio huwa kampuni za kirusi wanapozingua kuwafungulia hawa agents demo account ili kushawishi watu. Hii Ni mbaya sana sababu watu wasiojua lolote huwafuata wanavyocheza na kuweka pesa nyingi bila kujua kuwa wenzao hizo sio pesa za kweli ni mfano
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Watu kuelewa ni sheeda,kila siku wanaambiwa kitu hicho hicho,mtu hajiongezi

Kila siku mtu analamika pesa hazitoki,sijui sizioni,We umekimbilia

Offer sasa kuwa mpole

Kuna Kampuni kama 4 hivi huwa watoa Demo account ku attract new customers na wengi huingia kingi.

Ila wengine tunaolewa,tuliamua kutulia mtu apate rizki yake kwa Commission,na si haba amewapata telee 🤣🤣🤣,Mjini mtu akiutaka acha apewe,we tulia kama Moja,baadhi wamestukia ila tayari waliishaingia kwenye mfumo jamaa wanavuta Chao

Ni kama kampuni za kuuza Solar ,wake wa mitaani ukikopa basi na wao kila ukilipa nawao Chao kinaingia,kuna Dogo anakula mpaka 1 million kwenye Solar kama commission ya malipo kila mwezi,yeye alianza miaka 6 nyuma,so Soko alilipata na analo
 
Ikamfikie Ser popote alipo
 
Cc : Ser
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…